Quantcast
     

Tetesi: Nyumba inapangishwa daresalaam

jamiiforums.com - 2013-04-23 14:55:09 - Similar - Report/Block

Nyumba inapangishwa daresalaam maeneo ya changanyikeni karibu na chuo kikuu cha ardhi ina vyumba 2 vya kulala, sebule, na jiko, na choo na ina umeme bei yake ni shilingi laki moja na hamsinikwa maelezo zaidi piga namba 0756914481. Pia kuna chumba kimoja nje ambacho ni single room nacho kinapangishwa kwa shilingi elfu hamsini kwa mwezi was...

News Alert: Nyumba inapangishwa daresalaam

jamiiforums.com - 2013-04-09 11:49:42 - Similar - Report/Block

Nyumba ya kupangisha ( selfcontainer) inapatikana daresalaam maeneo ya changanyikeni karibu na chuo kikuu cha ardhi kama ifuatavyo: 2 bedroom, stting room, store/kitchen and toilet na bei yake ni shilingi laki mbili KWA MWEZI wahi mapema pia kuna chumba kingine separate (single room with toilet) kwa upande wa nje inapangishwa kwa bei ya e...

viwanja sqm 750 na nyumba ya kupangisha

jamiiforums.com - 2013-02-25 13:13:34 - Similar - Report/Block

Viwanja viwili ukubwa ni Sqm 750, Vipo mbweni karibu na nyumba za TBA. Bei ni Milioni 35 kwa kila kimoja. Nyumba inapangishwa ipo Mbweni TBA house. Vyumba 2 na master 1 jiko, sebule na stoo. Bei ni laki 3 . maelewano yapo. CONTACTS 0715353108 0756144060 mwamalekela@gmail.com...

Nyumba Inapangishwa Mbezi Beach

jamiiforums.com - 2013-02-25 23:11:54 - Similar - Report/Block

Ni nyumba ya uani. Ina vyumba vinne. Viwili chini viwili juu. Vya juu ni self-contained. Vyumba vyote haviingiliani. Vimemaliziwa vizuri kwa tiles, sliding windows, juu kuna eneo la wazi ambalo nalo lina tiles. Mbele kuna nyumba kubwa ya mwenye nyumba. Mwenye nyumba si mkaazi wa dar es salaam. Huja mara chache sana mara nyingi anaishi nko...

Nyumba ya kununua Mbeya

jamiiforums.com - 2013-02-26 17:23:57 - Similar - Report/Block

WanaJF, Nahitaji nyumba ya kununua Mbeya mjini kwa mtu yeyote anayefahamu nyumba inayouzwa Mbeya tuwasiliane through PM.Iwe nyumba walau yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule n.k...

Nyumba inauzwa sh. 13 mil.

jamiiforums.com - 2013-02-20 14:14:19 - Similar - Report/Block

Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati nyumba, kuongeza ukubwa au kujenga nyingine hapo hapo. Kwa anayehitaji piga simu namba 0715 597591...

Tetesi: Selection and posts za form four

jamiiforums.com - 2013-06-10 14:43:57 - Similar - Report/Block

hv hawa necta wamelogwa na nan? MPAKA LINI SASAA? HATA TETESI HAKUNA?...

Dalali tapeli 0712-571827 anayeshirikiana na polisi

jamiiforums.com - 2013-02-21 10:48:01 - Similar - Report/Block

Ndugu wana Bodi heshima kwenu. Jamani katika kutafuta nyumba za kupanga tuwe makini sana haza maeneo haya ya Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni etc. Binafsi na familia yangu tumetapeliwa 4 milioni mwezi huu wa kwanza. Kuna dadali mmoja ambaye ni maarufu kwa jina la DAUDI namba ya simu 0712-571827, huyu anaishi mjini kwa ut...

Tetesi mishahara ya walimu

jamiiforums.com - 2013-04-16 15:54:59 - Similar - Report/Block

Wana JF tupeane habari juu ya tetesi hiyo,aliyepata la ukweli atutupie na sisi wenzie.

Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

jamiiforums.com - 2013-02-26 10:59:05 - Similar - Report/Block

Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe ndogo sana,dining, jiko na stoo nyumba iwe maeneo yafuatayo Lugalo,Kihesa,Mwachan'ga,Mwang 'ingo.Budget yangu nyumba isizidi 190,000/= kwa mwezi iw...

Nyumba mbili kwenye kiwanja kimoja

jamiiforums.com - 2013-05-14 01:40:34 - Similar - Report/Block

Wakuu ninaomba kupewa maelezo kuhusu sheria na taratibu zinazo simamia suala la kujenga nyumba mbili katika kiwanja kimoja. Kwamfano mtu mwenye kiwanja cha mita 30 (30m) kwa mita 50 (50m), je ni sheria au taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ili kuweza kujenga nyumba mbili au tatu katika kiwanja hicho? Siulizii kuhusu kujenga servant quarter...

News Alert: Nyumba ya mbunge wa CCM ya choma moto

jamiiforums.com - 2013-04-24 17:47:26 - Similar - Report/Block

Nasikiliza BBC swahili mida hii na nimesikia nyumba ya mbunge wa CCM Liwale mkoani Lindi imechomwa moto na nyumba ya mwenyekiti wa CCM, Police wana miminika pande za liwale na hali sio shwari...

evolveStar Join

Kwa anayehitaji ramani ya nyumba

jamiiforums.com - 2013-05-03 01:16:06 - Similar - Report/Block

Ndugu watanzania wenzangu, mimi ni mbunifu majengo. Hivyo kwa yeyote mwenye uhitaji wa ramani ya nyumba kwa bei nafuu tuwasiliane 0 714155854...

News Alert: nyumba inauzwa kisauni, zanzibar

jamiiforums.com - 2013-03-15 18:23:07 - Similar - Report/Block

nyumba inauzwa zanzibar,eneo la kisauni ukubwa wa kiwanja ni 23x40m . ina nafasi ya kujenga nyumba nyengine kubwa na kupaki magari zaidi ya kumi iko karibu na ofisi za ccm/cuf na msikiti wa kisauni. bei ni 65,000,000 na ni maelewano...kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu no 0774130715/0715130715 mr abuu....email abdul1805@gmail.com au a...

Nyumba nzima yapangishwa DSM, TMK.

jamiiforums.com - 2013-05-15 11:38:51 - Similar - Report/Block

Nyumba nzima yapangishwa. MAENEO: Temeke, Dar es salaam. Nyumba ipo mtaa wa Mashine ya Maji no5. Ni kama km 1 kutoka Mtoni Mtongani. Mtaa upo kati ya Buza na Mtongani. MAUMBILE: Nyumba ina sebule, vyumba vitano, sehemu ya jiko na choo cha ndani pamoja na store. Pia ina paking ya gari na sehemu za kulaza magari yenye geti. Ina umeme na ime...

Tetesi: Magari aina ya noah

jamiiforums.com - 2013-05-16 18:05:15 - Similar - Report/Block

Jamani mie sina radio wala tv kutokana na kazi nazofanya za kusafirisafiri, kuna tetesi nimesikia eti gari aina ya noah zimeruhusiwa kuendelea na kazi ya usafirishaji abiria eti ni kweli?...

Tetesi:Maandamano kariakoo

jamiiforums.com - 2013-02-15 12:25:34 - Similar - Report/Block

Salamu jukwaa, kuna tetesi mapambano yanaendelea kariakoo kati ya waandamanaji na polis,walioko pande hizo fuatilieni mtujuze tafadhali.....

Upanuzi huu una manufaa?

jamiiforums.com - 2013-03-21 23:40:28 - Similar - Report/Block

Nikiwa napita njia ya moroco to mwenge naona mafundi wakivunja nyumba nzuri nusu pemben kuendelea naona zoezi endelevu tena kama vile mwenye nyumba kawaajiri wavunje;;tumeona sinza ziez hili bila markebisho yoyoite sasa nauliza huu upanuzi una manufaa ama tunavunja nyumba za watu kisa pugu aijaajaa aijajaaa...

Magufuli na Kikwete rudisheni nyumba za serikali sasa!

jamiiforums.com - 2013-03-21 14:58:07 - Similar - Report/Block

Wakati akiingia madarakani rais Kikwete aliahidi kushughulikia ufisadi uliofanyika wakati wa mwisho wa utawala wa Benjamini Mkapa. Baada ya kuingia madarakani akaanza kukwepa kuongelea suala hilo na akiongea anaendeleza ahadi kama ilivyo kawaida yake. Kwakuwa sasa anaelekea mwishoni mwa utawala wake mimi namshauri kuwa ni wakati muafaka k...

Tetesi: Mgomo wa wanaudsm.

jamiiforums.com - 2013-04-23 15:50:41 - Similar - Report/Block

tetesi za mgomo wa wanafunzi wa udsm waishio mabibo hostel kuhusiana na kupanda kwa nauli ya daladala kutoka 300 hadi 400, zaanza kuzaa matunda.

Hoteli/Hosteli Inapangishwa Sakina,Arusha.

jamiiforums.com - 2013-04-09 16:50:37 - Similar - Report/Block

Hoteli mpya na ya kisasa inapangishwa kwa chumba kimoja kimoja au hata yote ina vyumba 31. Sifa za Hoteli/Hosteli ina eneo kubwa la parking,umeme,maji ya uhakika,electic fence,vyumba vyote ni full self cotained,Tv,balcony na ni sehemu tulivu sana,ni dakika 10 kwa gari kutoka katikati ya jiji la Arusha. Bei ya chumba kwa wiki ni 210,000/=...

Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

jamiiforums.com - 2013-03-15 16:44:17 - Similar - Report/Block

Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.

Nauza kiwanja na nyumba

jamiiforums.com - 2013-02-28 10:07:10 - Similar - Report/Block

Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichojengwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kinauzwa Chanika, kiko karibu na kituo cha Chanika mwisho yanapoanzia na kuishia mabasi yaendayo mjini, unaweza kufika kwa gari bila tatizo au kwa mguu kutoka kituo cha mabasi kwenye barabara ya lami. Umeme upo karibu sana kwenye nyumba za jirani bado kuvuta...

Nyumba ya matofali ya kuchoma ni za gharama nafuu na zinapendeza sana!!

jamiiforums.com - 2013-03-15 18:29:26 - Similar - Report/Block

Nyumba ya matofali ya kuchoma ni za gharama nafuu na zinapendeza sana.docx Bei rahisi na maofali yake yanapendeza. Attached Files Nyumba ya matofali ya kuchoma ni za gharama nafuu na zinapendeza sana.docx (456.1 KB)...

News Alert: Nyumba inapangishwa tabata baracuda 450,000 kwa mwezi

jamiiforums.com - 2012-07-22 12:52:32 - Similar - Report/Block

specs: Vyumba vitatu(1 master) sebule kubwa(6 x5) air condition(ac) madirisha makubwa jiko + store dining kibaraza uwanja mkubwa mbele parking(garage) fence + gate miti ya kivuli maji yapo: -kunatank la lita 10000 -kisima(tanki) cha chini lita karibu 100,000 -kisima kingine cha chini lita 10000 -maji yanatoka mara 2 kwa wiki na kujaza mat...

News Alert: Nahitaji mkopo kwa haraka

jamiiforums.com - 2013-04-20 06:58:42 - Similar - Report/Block

tafadhali nahitaji mkopo wa muda malipo ndani ya miezi minne.Please anyone to help?Ninaisha Daresalaam...

Tetesi: Kwa kikwete wajipanga kwa 2015

jamiiforums.com - 2013-03-22 07:17:54 - Similar - Report/Block

Kama inavyojulikana kuwa katika CCM hakuna demokrasia bali kupangana. Kuna tetesi kuwa wameshaanza kujipanga. Bagamoyo atasimama Ridhiwani Kikwete na Chalinze atasimama Madega. Usiniuliza habari za Shukuru Kawambwa na Mwenzake. Sijazisikia...

Wananchi wanabomolewa nyumba zao kwa usimamizi wa serikali. Nani mtetezi wao

jamiiforums.com - 2013-06-07 08:59:08 - Similar - Report/Block

Vitendo vya kuboa nyumba za wananchi ili kupisha miradi ya wawekezaji vinaongezeka hapa Tanzania. Takribani kila wiki kuna taarifa za wananchi au mwananchi kubomolewa nyumba bila hata mali zake kuhifadhiwa. Kisha wanatelekezwa bila kupatiwa hifadhi yoyote. Hata wakilalamika, vyombo vya habari huripoti lakini hakuna usaidizi wowote kutoka...

Hongera Prof. Tibaijuka kwa Kuwajali Senior Citizens na TCRA iwalazimishe Ma'TV Co. Kuwapa Bure Deco

jamiiforums.com - 2013-05-29 16:07:17 - Similar - Report/Block

der! Wasiojiweza, Wastaafu, Wasamehewa Kodi NHC Serikali imetangaza kuwasaheme kodi ya pango watu wasiojiweza wakiwemo wastaafu, walemavu na yatima wanaoishi kwenye nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), katika maeneo mbalimbali nchini. Uamuzi huo ulitangazwa jana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Ana Tibaiju...

Tetesi: Kupanda na kushuka na hatimaye kupotea kwenye ulingo wa siasa

jamiiforums.com - 2013-05-16 16:55:25 - Similar - Report/Block

Ndugu wana JF Naombeni mnijulishe na kunifahamisha vizuri kisa cha kupotea kwa huyu msaidizi wa JK MZEE MANGULA.Kuna tetesi zimezagaa huku kwamba baada ya magamba kumpatia mzee MANGULA MKE wamemnyamazisha kabisa kisiasa na kuweza kuendelea na mkakati wake wa kukisafisha chama.JE nikweli?...

Tetesi: Hukumu ya kesi ya ubunge kati ya ccm na chadema sumbawanga mjini

jamiiforums.com - 2013-05-02 16:04:13 - Similar - Report/Block

Dugu wadau tunaomba kupewa taarifa juu ya tetesi hizi zinazo sikika katika mitaa ya sumbawanga japo vyombo vya habari haviweki tarifa(kujuza) umma kama inavyo takiwa kuwa, nazungumzia waandishi wa habari waliyoko Sumbawanga.

Tetesi: masomo waliyofanya vibaya matokeo ya form 6

jamiiforums.com - 2013-04-21 17:22:24 - Similar - Report/Block

kwa taarifa tu,wadau wanasema mwaka huu masomo ya physics,english,mathematics ndio yaliofelisha zaid yakifuatiwa na accounts!na pia kwa wale wa geography katika paper 1 kama umejibu maswali ya salinity in the ocean,soil conservation na graciation bac umekwenda na maji,coz karibia 90% nchi nzima wamejibu hayo maswali,wanaamini ni dalili ya...

Kama huna mpango wa kujenga nyumba yako soma kisa hiki hapa....tafadhali

jamiiforums.com - 2013-03-13 10:12:06 - Similar - Report/Block

Sie tunaotegemea nyumba za kupanga, kweli tuna kazi.Sehemu ninakopanga,mwezi uliopita mwen ye nyumba alimwozesha binti yake kwa bonge la harusi, tena mnajua tu harusi zetu zinazofanywa ndani ya miji yetu na si kwenye hosteli au ukumbini.Wageni zaidi ya 500 walifurika katika harusi hiyo tangu siku ya send Off, hadi siku ya harusi yenyewe.k...

Jambazi sugu Iringa akatwa mikono na miguu

jamiiforums.com - 2013-03-21 09:25:20 - Similar - Report/Block

Jambazi sugu maarufu kwa jina la Chacha limekamatwa usiku wa manane likiiba dukani. Chacha amewahi kumbaka na kumvunja mguu mama yake mzazi, alimuua babayake mdogo, mwaka jana alichoma nyumba 3 za wanakijiji, amevunja maduka zaidi ya 7, alimuua mwenzake wakiwa baa kwa kumchinja kama kuku. Marazote amekuwa akikamatwa na polisi lakini hurud...

Ni sahihi kwa wapangaji wa NHC kuuziwa nyumba kwa kigezo kuwa wamekaa muda mrefu?

jamiiforums.com - 2013-05-28 13:45:31 - Similar - Report/Block

Wakichangia bajeti ya wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi,wabunge wemeonekana kutofautiana juu ya uhalali wa kuwauzia nyumba wapangaji wa NHC.Kuna wanaounga mkono uamuzi huo na wengine wanaupinga. Mfano mzuri ni kati ya mh.Shibuda na mh.Wenje.Akichangia bajeti hiyo,mh.Wenje alipinga mpango huo na kupendekeza kuwa ni vizuri wapan...

Jasco traders-designer mafundi wa kupaka rangi na kutengeneza nyumba na kudizaini

jamiiforums.com - 2013-04-10 01:24:21 - Similar - Report/Block

TENGENEZA NYUMBA,DUKA OFFICE NA JASCO TRADERS IONEKANE YA KISASA ZAIDI NA YENYE KUVUTIA KWA BEI NAFUU (JASCO TRADERS AND DESIGNER WANAKUPA OFA 50% WAHI SASA UFURAHIE RANGI, FUNITURES,WALLS,FIXING,DESIGN WASILIANA NASI 0717486707,0655488080,07843340 20 email:jascotradersjsc@yahoo.co .uk)...

Njia panda sehemu ya pili

jamiiforums.com - 2013-04-20 17:39:22 - Similar - Report/Block

Nikaanza uhusiano nae nilikuwa kicheche sana hapo kabla bt nilipokuwa nae nikaacha na toka hapo sikuwai kutoka nje ya mahusiano nikanunua viwanja vitatu hapa dar na mashamba kadhaa mkoani pwani.mwanzoni mwaka jana 2kashauriana nijenge nyumba then 2funge ndoa bt katikati ya mwaka jana nikahamishwa kikazi arusha kwa mda wa mwaka yaani narud...

Tetesi: Serial killer back in dar es salaam

jamiiforums.com - 2013-03-21 06:10:35 - Similar - Report/Block

Habari wana jf...kuna tetesi nimezisikia kuwa kuna serial killer ambaye ni light skinned hapa dar anatembea na pikipiki...huwa hataki mabishano na dereva yeyote na ikitokea mmebishana yeye hukufyatulia bastora..kuna ujumbe una sambaa kuwa keshaua madereva wawili mmoja magomeni karibu na mkwajuni..mwingine bagamoyo road..je ni kweli tujuza...

mambo ya songea hayo

jamiiforums.com - 2013-03-11 11:23:14 - Similar - Report/Block

Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri ka...

Uweka wa "X" Jijini huko Sambamba la Ulaji Rushwa

jamiiforums.com - 2013-03-20 11:57:11 - Similar - Report/Block

Kasi inayoendele ya kuweka X nyumba zilizoongezea/kijengwa kinyume na sheria na utaratibu wa jiji, umeongeza kasi kwani nyumba nyingi zimeathirika na zoezi hili. wanavyofanya bila mkuoji zaidi ni vizuri sana kwani nyumba nyingi zimeziba mitaro, njia za dharula, hata njia kubwa. Zoezi hili limeghubikwa sana na rushwa kwani wawekaji X uchuk...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.