Quantcast
     

Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

jamiiforums.com - 2013-03-15 16:44:17 - Similar - Report/Block

Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.

Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

jamiiforums.com - 2013-02-26 10:59:05 - Similar - Report/Block

Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe ndogo sana,dining, jiko na stoo nyumba iwe maeneo yafuatayo Lugalo,Kihesa,Mwachan'ga,Mwang 'ingo.Budget yangu nyumba isizidi 190,000/= kwa mwezi iw...

Nyumba ya kununua Mbeya

jamiiforums.com - 2013-02-26 17:23:57 - Similar - Report/Block

WanaJF, Nahitaji nyumba ya kununua Mbeya mjini kwa mtu yeyote anayefahamu nyumba inayouzwa Mbeya tuwasiliane through PM.Iwe nyumba walau yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule n.k...

Tetesi: Nyumba inapangishwa daresalaam

jamiiforums.com - 2013-04-23 14:55:09 - Similar - Report/Block

Nyumba inapangishwa daresalaam maeneo ya changanyikeni karibu na chuo kikuu cha ardhi ina vyumba 2 vya kulala, sebule, na jiko, na choo na ina umeme bei yake ni shilingi laki moja na hamsinikwa maelezo zaidi piga namba 0756914481. Pia kuna chumba kimoja nje ambacho ni single room nacho kinapangishwa kwa shilingi elfu hamsini kwa mwezi was...

viwanja sqm 750 na nyumba ya kupangisha

jamiiforums.com - 2013-02-25 13:13:34 - Similar - Report/Block

Viwanja viwili ukubwa ni Sqm 750, Vipo mbweni karibu na nyumba za TBA. Bei ni Milioni 35 kwa kila kimoja. Nyumba inapangishwa ipo Mbweni TBA house. Vyumba 2 na master 1 jiko, sebule na stoo. Bei ni laki 3 . maelewano yapo. CONTACTS 0715353108 0756144060 mwamalekela@gmail.com...

Nyumba Inapangishwa Mbezi Beach

jamiiforums.com - 2013-02-25 23:11:54 - Similar - Report/Block

Ni nyumba ya uani. Ina vyumba vinne. Viwili chini viwili juu. Vya juu ni self-contained. Vyumba vyote haviingiliani. Vimemaliziwa vizuri kwa tiles, sliding windows, juu kuna eneo la wazi ambalo nalo lina tiles. Mbele kuna nyumba kubwa ya mwenye nyumba. Mwenye nyumba si mkaazi wa dar es salaam. Huja mara chache sana mara nyingi anaishi nko...

Nauza kiwanja na nyumba

jamiiforums.com - 2013-02-28 10:07:10 - Similar - Report/Block

Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichojengwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kinauzwa Chanika, kiko karibu na kituo cha Chanika mwisho yanapoanzia na kuishia mabasi yaendayo mjini, unaweza kufika kwa gari bila tatizo au kwa mguu kutoka kituo cha mabasi kwenye barabara ya lami. Umeme upo karibu sana kwenye nyumba za jirani bado kuvuta...

Nyumba nzima yapangishwa DSM, TMK.

jamiiforums.com - 2013-05-15 11:38:51 - Similar - Report/Block

Nyumba nzima yapangishwa. MAENEO: Temeke, Dar es salaam. Nyumba ipo mtaa wa Mashine ya Maji no5. Ni kama km 1 kutoka Mtoni Mtongani. Mtaa upo kati ya Buza na Mtongani. MAUMBILE: Nyumba ina sebule, vyumba vitano, sehemu ya jiko na choo cha ndani pamoja na store. Pia ina paking ya gari na sehemu za kulaza magari yenye geti. Ina umeme na ime...

Nyumba inauzwa sh. 13 mil.

jamiiforums.com - 2013-02-20 14:14:19 - Similar - Report/Block

Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati nyumba, kuongeza ukubwa au kujenga nyingine hapo hapo. Kwa anayehitaji piga simu namba 0715 597591...

vyumba vinapangishwa mwenge na kawe bei nafuu

jamiiforums.com - 2013-04-17 11:06:56 - Similar - Report/Block

vyumba vya kupanga vipo mwenge karibu sana na stendi kuu na vingine viko kawe kwa joseph, vipo vya sitini, sabini na themanini, kwa anaehitaji kuviona tuwasiliane kwa namba 0774797679, ni full tiles, maji ya kumwaga yapo, sihitaji dalali.

Natafuta archtecture

jamiiforums.com - 2013-03-18 11:27:48 - Similar - Report/Block

natafuta mtu wa kunichorea nyumba, please PM me if you are or if you know someone.

vyumba vinapangishwa

jamiiforums.com - 2013-04-09 17:05:59 - Similar - Report/Block

Chumba kimoja na sebule pamoja na maliwato ndani umeme na maji vipo.kibamba dar es salaam kodi laki moja kwa mwezi.karibuni...

evolveStar Join

Kwa walimu wapya: Natafuta mtu kubadilishan kituo cha kazi

jamiiforums.com - 2013-02-27 12:34:28 - Similar - Report/Block

Wadau mi nimepangiwa iringa natafuta mtu aliyepangwa mwanza au karibu na mwanza tubadilishane get me via 0753985758 au 0717846314...

Natafuta vifaa vya umeme

jamiiforums.com - 2013-02-25 12:52:03 - Similar - Report/Block

Nataka kufanya installation /wiring kwenye nyumba natafuta shemu wapouza viffa vya wiring kwa bei poa.

Dalali tapeli 0712-571827 anayeshirikiana na polisi

jamiiforums.com - 2013-02-21 10:48:01 - Similar - Report/Block

Ndugu wana Bodi heshima kwenu. Jamani katika kutafuta nyumba za kupanga tuwe makini sana haza maeneo haya ya Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni etc. Binafsi na familia yangu tumetapeliwa 4 milioni mwezi huu wa kwanza. Kuna dadali mmoja ambaye ni maarufu kwa jina la DAUDI namba ya simu 0712-571827, huyu anaishi mjini kwa ut...

Natafuta Contractor wa ujenzi

jamiiforums.com - 2013-06-02 12:38:14 - Similar - Report/Block

Asalaamu Aleykum! Jamani wana JF, nimerudi tena, Natafuta Contractor wa Ujenzi, mwenye kampuni iliyokuwa registered, yenye ofisi. Yahusu kujenga nyumba ya makazi maeneo ya Manzese. Ni PM na contact zako...

Msaada tafadhali...!!

jamiiforums.com - 2013-03-14 10:55:08 - Similar - Report/Block

Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata mkopo wa kiasi cha shillingi milioni mia moja (100 Mil) kutoka kwa mtu binafsi ama taasisi yoyote kwa ajili ya kufufua, kuboresha na kuendeleza biashara zangu. Nina mdhamini (mama yangu) aliye tayari kunidhamini kwa ajili ya mkopo huu kwa kuweka dhamana nyumba mbili (moja ina vyumba vitatu, sitting...

Natafuta Jiko la dogo Gesi.

jamiiforums.com - 2013-03-11 13:53:28 - Similar - Report/Block

Habari zenu wadau. Natafuta jiko la gesi lenye mtungi mdogo wa gesi(used) kwa tsh25000 iv. Fanya biashara popote ulipo nitajua jinsi gani mpango ufanyike.

Wateja wa chumvi!

jamiiforums.com - 2013-06-12 14:18:59 - Similar - Report/Block

Habari za leo wadau! Natafuta wateja wa chumvi(un processed) nimevuna zaidi ya tani2.....kwa anae hitaji au anae jua wapi naweza pata soko naomba michango yenu wadau.

News Alert: Nyumba inapangishwa tabata baracuda 450,000 kwa mwezi

jamiiforums.com - 2012-07-22 12:52:32 - Similar - Report/Block

specs: Vyumba vitatu(1 master) sebule kubwa(6 x5) air condition(ac) madirisha makubwa jiko + store dining kibaraza uwanja mkubwa mbele parking(garage) fence + gate miti ya kivuli maji yapo: -kunatank la lita 10000 -kisima(tanki) cha chini lita karibu 100,000 -kisima kingine cha chini lita 10000 -maji yanatoka mara 2 kwa wiki na kujaza mat...

Nyumba inauzwa bunju “b’’

jamiiforums.com - 2013-05-02 08:15:16 - Similar - Report/Block

Hajakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala jiko na sebure haijakamilika. Bei maelewano. Muhitaji tuwasiliane kupitia hizi namba 0717114409 or 0784225000. Sms ruksa Attached Thumbnails...

Salamu haigombi

jamiiforums.com - 2013-03-19 14:07:37 - Similar - Report/Block

Najisikia raha tu kuwakuta humu, nawasalimia wooooooooote! Najua kuna wasiopenda hata kujibu wanaposalimiwa lakini bila shaka ndo zimeshafika nami ndio nimeshatinga ndani ya nyumba katikati ya sebule! Nawapenda wote...

Nyumba inauzwa mbagala kizuiani

jamiiforums.com - 2013-06-08 16:56:26 - Similar - Report/Block

Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ina hati miliki bei; tshs millioni 90 Dalali anaruhusiwa simu 0767266814...

Nahitaji mkopo..!!

jamiiforums.com - 2013-04-22 13:16:28 - Similar - Report/Block

Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nawiwa kuomba mkopo wa kiasi cha Mil 70 kwa interest isiyozidi 3% kwa mwezi , ninaweza kurejesha kwa kipindi cha miezi 12. Nitaweka nyumba ya vyumba 10 iliyopo Mvuti kama dhamana.

Nyumba mpya inauzwa tabata kinyerezi

jamiiforums.com - 2013-02-25 23:38:16 - Similar - Report/Block

Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko, store na vyoo viwili na mabafu mawili. Kiwanja chake kina hati miliki na kina ukubwa wa mita za mraba 850. Bei 200 mil. Kuiona piga simu na 0755312233 au 0717114409. Attached Thumbnails...

Kama huna mpango wa kujenga nyumba yako soma kisa hiki hapa....tafadhali

jamiiforums.com - 2013-03-13 10:12:06 - Similar - Report/Block

Sie tunaotegemea nyumba za kupanga, kweli tuna kazi.Sehemu ninakopanga,mwezi uliopita mwen ye nyumba alimwozesha binti yake kwa bonge la harusi, tena mnajua tu harusi zetu zinazofanywa ndani ya miji yetu na si kwenye hosteli au ukumbini.Wageni zaidi ya 500 walifurika katika harusi hiyo tangu siku ya send Off, hadi siku ya harusi yenyewe.k...

Kiwanja cha kununua

jamiiforums.com - 2013-05-04 15:07:07 - Similar - Report/Block

Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba,kiwe MTWARA(Wilaya yoyote),MOROGORO(wilaya yoyote) au KIBAHA...

Mtuhumiwa wa bomu la Boston apatikana

jamiiforums.com - 2013-04-20 03:37:27 - Similar - Report/Block

Habari wadau. Yule mtuhumiwa wa bomu lililolipuka katika mji wa Boston amepatikana na upelelezi unaendelea kujua washirika wake na sababu hasa za kupanga shambulizi hilo.

Msaada Tafadhali

jamiiforums.com - 2013-02-12 15:45:01 - Similar - Report/Block

habari zenu wakuu. Naomba msaada kwa members wa morogoro wing, nimehamishiwa moro kikazi, naomba msaada kwa anaemjua dalali wa nyumba anipatie namba zke. Or kwa anaeweza kunisaidia kupata chumba na sebule yenye choo ndani. Plsss ni PM tulonge. Hope moro wing mtanipokea member mwenzenu. Kwa heri Dar wing Will miss u...

Natafuta watu wa sales na marketing

jamiiforums.com - 2013-03-28 10:34:09 - Similar - Report/Block

Wadau , Nina product(s) mpya nataka kuziingiza sokoni hivyo natafuta watu wenye uwezo wa kuniuzia bidhaa zangu kwa wateja wa aina mbalimbali ,Sifa; Awe anaipenda kazi yake Awe anaweza kujituma Mcheshi Mtanashati Akiwa amesomea,ni faida zaidi kwake Akina dada inawafaa zaidi ,lakini siyo kigezo kikubwa Yeyote mwenye sifa hapo juu naweza kut...

Nyumba vyumba viwili self inahitajika

jamiiforums.com - 2013-05-22 17:41:24 - Similar - Report/Block

Maeneo kuanzia shekilango hadi kimara mwisho. Isizidi 3kms kutoka main road. iwe na parking walau ya gari moja. Ikiwa ya kujitegemea itafaa zaidi lakini si lazima sana. Hii ni serious sana wana jf. naomba wabezaji wanihurumie.Nijulishe kwa 0713690810. Ahsanteni.

Air Crash Investigation Series

jamiiforums.com - 2013-03-20 12:56:55 - Similar - Report/Block

Wadau natafuta hiyo Movie series hapo juu vyovyote ikiwa kwenye dvd or memory stick please...

Natafuta mke.

jamiiforums.com - 2013-02-26 04:40:02 - Similar - Report/Block

Nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha,mwanamke awe na wa kuanzia miaka 40 na kuendelea.

Natafuta jimama

jamiiforums.com - 2013-06-07 23:43:06 - Similar - Report/Block

Natafuta shangingi lenye pesa zake napiga 24 hrs aliye tayal anitafute kupitia 0689427595...

Natafuta mke!

jamiiforums.com - 2013-04-19 10:20:56 - Similar - Report/Block

Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.

Nyumba mbili kwenye kiwanja kimoja

jamiiforums.com - 2013-05-14 01:40:34 - Similar - Report/Block

Wakuu ninaomba kupewa maelezo kuhusu sheria na taratibu zinazo simamia suala la kujenga nyumba mbili katika kiwanja kimoja. Kwamfano mtu mwenye kiwanja cha mita 30 (30m) kwa mita 50 (50m), je ni sheria au taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ili kuweza kujenga nyumba mbili au tatu katika kiwanja hicho? Siulizii kuhusu kujenga servant quarter...

Natafuta nyumba ya kufanyia Biashara Arusha

jamiiforums.com - 2012-09-11 20:38:07 - Similar - Report/Block

Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha. Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk) Nje kidogo ya mji sifa: Eneo liwe lenye Usalama Eneo lenye mzunguko (wanaojua biashara wanafaham) Karibu na shule/kanisa/taasis nk Anaweza kulipa kodi kati ya shs 50 na laki moja kwa mwezi kuli...

Natafuta kazi ya Uhasibu.

jamiiforums.com - 2013-03-19 07:01:01 - Similar - Report/Block

halo wadau wa JF, mi nilimaliza CBE advance diploma of accounting, nina Gpa ya lower second, nimefanya application kadhaa lkn bado sijapata kazi, nifanyaje ili nipate kazi? Kama application nafanya lkn ndio hvyo, ukizingatia mtaani maisha yanazidi kukaba.

Natafuta Girlfriend_Geita

jamiiforums.com - 2013-03-25 11:57:52 - Similar - Report/Block

Nipo hapa k'lala_geita! Ninamiaka 22! Natafuta grlfrnd anayeish geita,niPM au nipigie 0759 947 397.I'm serious...

News Alert: Nyumba ya mbunge wa CCM ya choma moto

jamiiforums.com - 2013-04-24 17:47:26 - Similar - Report/Block

Nasikiliza BBC swahili mida hii na nimesikia nyumba ya mbunge wa CCM Liwale mkoani Lindi imechomwa moto na nyumba ya mwenyekiti wa CCM, Police wana miminika pande za liwale na hali sio shwari...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.