Quantcast
     

Liwale Wameanza, Tandahimba Watafanya Makubwa Zaidi...

jamiiforums.com - 2013-04-25 14:55:44 - Similar - Report/Block

Nianze kwa kuwajuza.. Tandahimba ndiyo Wilaya inayozalisha Korosho bora na kwa kiasi kikubwa kuliko wilaya yoyote ile hapa Tanzania! Kwa huu utaratibu wa kuchelewesha malipo ya pili unaweza kuleta shida kubwa sana, Nikirejelea mwaka jana malipo haya yalicheleweshwa na madhara yake yalikuwa makubwa Kwani ilisababisha askari polisi waanze k...

Balozi za nje zafilisi Nchi !

jamiiforums.com - 2013-05-21 13:50:06 - Similar - Report/Block

• Italia yaongoza.. •Ujerumani na Japan zafuata kwa kufuja.... Wana JF, Balozi za Tanzania zilizopo nchi za nje zimekuwa na matumizi makubwa kupita kiwango kiasi cha baadhi yake kusababisha madeni makubwa kwa Taifa. Balozi hizo zaidi ya 18 zimekuwa zikitumia fedha zaidi ya bajeti yake iliyopangwa katika kujiendesha, ununuzi wa majengo usi...

News Alert: Nyumba ya mbunge wa CCM ya choma moto

jamiiforums.com - 2013-04-24 17:47:26 - Similar - Report/Block

Nasikiliza BBC swahili mida hii na nimesikia nyumba ya mbunge wa CCM Liwale mkoani Lindi imechomwa moto na nyumba ya mwenyekiti wa CCM, Police wana miminika pande za liwale na hali sio shwari...

Mradi wa zinduka na shule za sekondari mkoa wa Mtwara

jamiiforums.com - 2013-03-19 11:13:51 - Similar - Report/Block

Leo wanafanya uzinduzi wa ZINDUKA, wapo Tandahimba Sekondari. Wameunganika na baadhi ya shule zilizopo wilayani Tandahimba. Huu muda ni wa vipindi darasani, lakini vimevunjwa. Taarifa nilizozipata, kuanzia saa 4 asubuhi watoto wapo kwenye uzinduzi huo.

Mashamba makubwa yanauzwa Morogoro

jamiiforums.com - 2013-03-19 10:19:48 - Similar - Report/Block

Mashamba makubwa yanauzwa mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilosa eneo la Msowelo,kwa mwenye kuhitaji naomba ani PM tafadhali...

Madaraka ya DDP yaangaliwe upya

jamiiforums.com - 2013-03-24 10:39:20 - Similar - Report/Block

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ali Kessy yeye alikwenda mbali zaidi ya kueleza kuwa mahakimu na waendesha mashtaka wamegeuka miungu watu, huku wakishindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo Kumekuwapo mjadala mzito unaoendelea nchini kuhusu madaraka ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuwa ni makubwa na kwamba yanapaswa kupunguzwa. W...

Jf mlioko sumbawanga tupasheni kinachoijiri jioni hii kuhusu maandamano ya cdm

jamiiforums.com - 2013-05-08 17:06:23 - Similar - Report/Block

Taarifa ya simu kutoka sumbawanga kuna maandamano makubwa yanafanyika muda huu ya cdm kufuatia mahakama kuu kanda ya sumbawanga kumpa ushindi aishi hilary std 7 ubunge wa sumbawanga mjini,waliopo huko wanaweza kutupasha zaidi na picha...

News Alert: Mafuriko makubwa same mjini leo

jamiiforums.com - 2013-04-08 17:25:27 - Similar - Report/Block

Wanajamii nipo safari na ninapita Same mjini na nimekuta mafuriko makubwa na mvua bado inaendelea kunyesha. Wanaoendesha njia hii wawe makini maeneo haya maana maji yanapita juu ya barabara.

Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

jamiiforums.com - 2013-03-18 16:00:11 - Similar - Report/Block

Siku za nyuma, wanaume walijali zaidi uzuri wa sura na mwili wakati walipokuwa wanatafuta mke. Lakini utafiti uliofanywa duniani kote unaonesha kwamba, wanaume hivi sasa wamebadili mitazamo na kuanza kuangalia vitu vilivyo zaidi ya uzuri wa sura na mwili. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Grand Valley kilichopo jimboni Michigan nchini Mareka...

News Alert: Kiwanja kinauzwa Miembesaba Kibaha

jamiiforums.com - 2013-03-19 09:22:57 - Similar - Report/Block

Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibahainakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga yard ya kuuzia magari Kujenga Hotel pia kujenga Kiwan da. K iwanja kipo eneo la Miembesaba pembeni ya barabara kuu ya Morogoro ukubwa ni hekari ta...

Mwalimu wa kubadilishana naye kituo

jamiiforums.com - 2013-03-04 10:07:40 - Similar - Report/Block

Naitwa mwl omari wa mtwara(tandahimba) naomba kubadilishana kituo na mwl yeyote kutoka wilaya ya mkuranga 0782375646...

Ntafuta nafasi ya kazi ya udereve magari makubwa na madogo

jamiiforums.com - 2013-06-03 13:01:14 - Similar - Report/Block

Namumbea kaka yangu anaitwa mwaipopo anatafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo piakwa yeyote atakaytaka kumwajiri ampigie kwa namba yake ni: 0714 891318 Hata kwa wale wanaofahamu watu wanotaka kazi za udereva naomba niunganisheni nao, anasema kaka mwaipopo...

evolveStar Join

Majogoo wa kienyeji, kanga weupe, bata mzinga -dar

jamiiforums.com - 2013-06-05 18:26:55 - Similar - Report/Block

Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya 10,000.00-20,000.00 inategemea umri na ni kwa order. Ukitaka nipm...

natafuta mwalim wa kubadilishana

jamiiforums.com - 2013-03-11 14:36:02 - Similar - Report/Block

naitwa mwl omari wa mtwara wilaya ya tandahimba natafuta mwl yeyote wa kubadilishana nae kutoka mkuranga au Temeke,namba za cm 0782375646.

JF kuweka updates kwenye FB ni maendeleo makubwa na itaharakisha ukombozi

jamiiforums.com - 2013-03-15 17:32:59 - Similar - Report/Block

Nawapongeza sana JF kwa kuweka updates kwenye Facebook. Vijana wengi kizazi cha miaka 16 mpaka 35 wanaperuzi Facebook kwa simu zao. So kama Vyama vya siasa vikichangamkia hii fursa kuelimisha jamii elimu ya uraia kupitia JF ni msaada mkubwa. Kwa sasa nawashauri CHADEMA watumie hii fursa, nina imani na CHADEMA zaidi...

News Alert: Mbowe kutikisa Shinyanga kesho Jumamosi

jamiiforums.com - 2013-03-15 17:44:13 - Similar - Report/Block

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kesho ataongoza maelfu ya wananchi katika uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Mashariki. Uzinduzi huo utafanyika mjini Shinyanga ambayo ni ngome kuu ya Chadema kwa ukanda huo. Kanda ya Ziwa Mashariki inajumuisha mikoa ya Shinyanga,Mara na Simiyu. Uzinduzi huo utatanguliwa na maandamano makubwa yakifuatiwa na mkut...

News Alert: Nani wengi zaidi kati ya wanaume na wanawake hawapo kwenye mahusiano

jamiiforums.com - 2013-03-19 14:52:59 - Similar - Report/Block

dears,pls kwa wanawake na wanaume nataka kujua wapi kati yetu wengi tupo single zaidi ya wengine....coz nahisi kama rate ya wasichana tulio single tupo wengi zaidi ya wanaume hadi naanza kuogopa kama kuolewa kutakuwepo au ndo itakuwa ndoto au wakristu nao itafikia hatua ya kuhalalisha ndo ya wake zaidi ya mmoja.

Akhsante Tundu Lisu na CHADEMA

jamiiforums.com - 2013-03-23 15:28:50 - Similar - Report/Block

Sina maneno ya kuongeza zaidi ya asante kwa kazi mnayoifanya video inajieleza, Mola awape nguvu na maarifa zaidi ya kuifikisha Pazuri...

ULEMAVU WA kuipenda DAR ES SALAAM KWA WASOMI KIKWAZO CHA KUKOSA AJIRA

jamiiforums.com - 2013-05-14 11:16:08 - Similar - Report/Block

Naandika kwa masikitiko makubwa mpaka najisikia machozi yananilenga, vijana wetu kila mmoja anataka afanyie kazi Dar, Dodoma au Morogoro, au mwanza na hata Arusha. Lakini leo hii nenda Mafia, Nenda Nkasi, Nenda Liwale, nenda Busokelo,nenda Mpanda, Nenda Kibondo, Nenda kishapu, nenda Halmashauri zooote za pembezoni kwa hakika kuna upungufu...

Re;mafuta ya ubuyu

jamiiforums.com - 2013-03-25 16:15:55 - Similar - Report/Block

ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.

Huyu Cloudflare Ni nani?

jamiiforums.com - 2013-06-08 18:11:32 - Similar - Report/Block

Yaani kila niki-browse JF naletewa error 400 na kuna hayo maandishi ya Cloudflare (sp) hadi naboreka, inapatikana zaidi nikitumia simu. natumia HTC-HD7 ndio tatizo au kuna la zaidi? Nisaidieni wadau...

Mkutano wa CCM Moro

jamiiforums.com - 2013-04-21 15:09:50 - Similar - Report/Block

CCM na TBC yao leo wamehamia Moro. Nilichogundua ni kuwa Chadema ipo juu sana. Hakuna cha maana kinachoongelewa zaidi ya Chadema. Zaidi ya hapo wanaongelea historia, TANU, ASP na uchaguzi wa 2010 nk.

Ingeweza kuwa mbaya zaidi

jamiiforums.com - 2013-04-22 16:32:29 - Similar - Report/Block

Kuna mjita mmoja ambaye alizoea kusema "hii ni sawa,hali ingeweza kuwa mbaya zaidi". Kila watu wakimweleza matatizo yao jibu lake ni hilo hilo. Siku moja jirani yake alirudi kazini mapema na kumkuta mke wake akifanya mapenzi na mangi. Kwa hasira akawapiga risasi akawaua na yeye akajiua. Majirani walipofika kwenye msiba kila mtu akawa anas...

Yupi chizi zaidi?

jamiiforums.com - 2013-05-21 19:12:35 - Similar - Report/Block

Matokeo ya mitihani ya milembe katika darasa fulani la machizi yalitoka swali ni kwamba kati ya chizi aliyekuwa wa kwanza na yule aliyekuwa wa mwisho nani chizi zaidi?...

News Alert: Tiba ya mafuta ya ubuyu

jamiiforums.com - 2013-03-25 09:04:56 - Similar - Report/Block

ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.

Vivazi kwa wenye maumbo makubwa

jamiiforums.com - 2013-04-25 01:47:31 - Similar - Report/Block

Msaada kutoka kwenu wataalamu wa Uchumi

jamiiforums.com - 2013-04-23 14:27:23 - Similar - Report/Block

Imekuwa ni wimbo wa kila mtanzania, kuwa hela imekuwa ngumu kupatikana, biashara haziendi wadeni wangu, wameshindwa kunilipa kwa zaidi ya miezi mitano sasa. Swali: hali hii ina sababishwa na nini hasa na nini kifanyike? Kitaalamu zaidi kwa ameture,...

Maudhui ya kitabu cha "animal farm" yanatimia katika bara la afrika

jamiiforums.com - 2013-04-25 12:14:34 - Similar - Report/Block

WANYAMA waliokuwa wanaishi katika nchi yao ya ANIMAL FARM walikuwa na matumaini makubwa sana ya maisha yao mapya ya UHURU wa kujitawala na kujiamulia mambo yao wenyewe baada ya kuupindua utawala wa BINADAMU katika nchi yao ya "ANIMAL FARM" lakini matarajio yao makubwa yaligeuka ghafla na kuwa kadhia ndani ya muda mfupi tu baada ya kujipat...

Mtazamo: Wanawake wengi wenye taaluma ya "ualimu" wanaoleka zaidi

jamiiforums.com - 2013-04-23 12:29:20 - Similar - Report/Block

WanaJF nimekuwa nikitazama kada mbalimbali za kitaaluma kwa upande wa wanawake, nimegundua kuwa wengi wenye taaluma ya ualimu wanaume wananasa zaidi.....i mean wanaolewa sana kulinganisha na kada zingine!!! ualimu chekechea, primary, sekondari, chuo nk naona wanaolewa mapema na kwa wakati muafka zaidi!!! Wadau kwa upande wenu mnaonaje????...

Mwanamke Mwenye Mahispsi Makubwa Kuliko Wote Duniani

jamiiforums.com - 2013-05-08 10:13:07 - Similar - Report/Block

=== === "Hii Sio Mchina, " Kama umesikia wanaume wanaweza kuvunja shingo wakigeuka kumuangalia mwanamke akipita, basi huyu mwanamke atakuwa ameishavunja shingo za wanaume wengi, makalio yake na mahispi yake ya asili yamemfanya awe mwanamke mwenye mahispi makubwa kuliko wanawake wote duniani. Mwanamama huyu wa nchini Marekani hajatumia daw...

News Alert: nyumba inauzwa kisauni, zanzibar

jamiiforums.com - 2013-03-15 18:23:07 - Similar - Report/Block

nyumba inauzwa zanzibar,eneo la kisauni ukubwa wa kiwanja ni 23x40m . ina nafasi ya kujenga nyumba nyengine kubwa na kupaki magari zaidi ya kumi iko karibu na ofisi za ccm/cuf na msikiti wa kisauni. bei ni 65,000,000 na ni maelewano...kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu no 0774130715/0715130715 mr abuu....email abdul1805@gmail.com au a...

Wanaume wanasononeka zaidi wanapokosa watoto

jamiiforums.com - 2013-06-04 03:08:08 - Similar - Report/Block

Nimeisoma hii kwamba kunautafiti umefanyika umegundua kwamba wanaume ndio wanasononeka sana wanapokosa watoto, very interesting story from bbc, unaweza kuisikiliza zaidi hapa http://www.bbc.co.uk/swahili/medianu...a -april6.shtml...

Chadema sasa itachukua nchi

jamiiforums.com - 2013-05-04 18:27:24 - Similar - Report/Block

Habari wanajamii, Katika muda wa miaka 3 (2010-2013) nimekuwa nikifuatilia siasa za CHADEMA VS CCM kwa karibu. Ktk uchaguzi wa 2010, CHADEMA ilionekana kuungwa mkono zaidi mijini huku CCM ikiungwa mkono zaidi vijijini. Baada ya uchaguzi wa 2010, nafikiri chadema wamegundua kuwa kuna haja ya kujikita zaidi vijijini hasa baada ya kuanzisha...

John Pombe Magufuli awa kinara Tanzania...

jamiiforums.com - 2013-05-15 12:44:06 - Similar - Report/Block

Wakati Carlos Slim Helu & family akitangazwa mwaka huu kuwa tajiri mkubwa zaidi duniani ($73bn), sio vibaya naye Magufuli akatangazwa kuwa fisadi mkubwa zaidi Tanzania kwa mwaka huu wa fedha (Tsh 252bn)...

ku-unlock samasung GT-s5300

jamiiforums.com - 2013-03-25 11:25:15 - Similar - Report/Block

habari ya leo waungwana,nina tatizo katika simu ya mtu wangu wa karibu sana,ana simu ya samsung GT-s5300.akamuazima mtu mwingine,sasa yule mtu akaizima ile simu,walipoiwasha tena wakakutana na swali la kuhitaji password,wao wakaingiza password nyingine za kubahatisha.wameweka mara nyingi mpaka ikajilock. sasa hii simu inawaka lakini huwez...

Hivi hii nchi kuna sheria ya kudhibiti madanguro? Kama ipo ianzie hapa...

jamiiforums.com - 2013-02-28 14:12:45 - Similar - Report/Block

Ni Mafinga. Kwenye baa inayoitwa John's Corner ndogo. At any point of time ina mabaa medi wengi kuliko wateja (zaidi ya 30). Nilipochunguza niliambiwa hawa ni ma"flying prostitutes" kutoka Dar na miji mingine na wanakuja pale "kujitolea", u-medi bila malipo, ila wanapewa sehemu ya kulala (kuna vyumba kama vitano, zamani vilikuwa lodge ila...

Suala la mkopo wa elimu ya juu

jamiiforums.com - 2013-05-04 12:50:15 - Similar - Report/Block

Hivi waugwana ni haki kweli kwamba aliye katika ajira hana haki ya kupata mkopo wa elimu ya juu kwa mshahara wa kima cha chini ikiwa ada ya chuo kwa mwaka inazidi hata mshahara wake wa mwaka mzima na miezi sita bila kuwa na pesa hata ya kutoa copy ya stationaries je! selikali yetu kupitia hiyo bodi ya mikopo wanafikiri nini ili kuwapa fur...

wahamiaji haramu 34 wamekamatwa kwenye makontena tanga.

jamiiforums.com - 2013-03-01 16:11:19 - Similar - Report/Block

Wahamiaji haramu 34 raia wa somalia na ethiopia wamekamatwa kitumbi handeni tanga wakiwa ndani ya kontena. kwenye kontena wamekuta mmoja kafa lakini wengine zaidi zaidi ya 50 wamekimbia. source itv. mia...

Kamanda MAWAZO, HUSSINA wa M4C Waivuruga ngome ya CCM Muleba Kaskazini

jamiiforums.com - 2013-02-26 11:45:31 - Similar - Report/Block

CHADEMA kupitia oparesheni yake ya Movement for Change (M4C), Kanda ya Ziwa, imevuruga ngome ya chama tawala CCM katika visiwa vilivyopo jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera.kati Katika mikutano yake iliyofanyika Kisiwa cha Bumbile kata ya Bumbile, jimbo hilo la Muleba Kaskazini zaidi ya wanachama 200 walijiunga na Chadema baada ya wan...

News Alert: Mtu anayevunja ahadi kwa wapenzi,huwa anamana gani?

jamiiforums.com - 2013-03-29 09:17:54 - Similar - Report/Block

Mazee npeni ushaur kwa huyu wangu manzi mana nimemuomba MZIGO zaidi ya mara tatu lakini anazingua,2mepanga zaidi ya mipango ya kukutana lakini yeye anavunja ahadi mpaka nashndwa kumuelewa kama ananipenda au....eti wadau nimwache au niendelee kuvumilia 2...nipeni ushauri...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.