Quantcast
     

Cloudz tv kuonyesha mpira wa leo, shaffih dauda nadhani karidhika

jamiiforums.com - 2013-05-04 18:32:24 - Similar - Report/Block

Huyu jamaa roho ilikua inamuuma sana azam kuwapa startv haki ya kurusha game zao.nadhan sasa cloudz tv kupewa game ya leo atatuliza kiherehere...

biashara ya kuonyesha mpira

jamiiforums.com - 2013-06-10 08:23:41 - Similar - Report/Block

wakuu nataka nianze biashara ya kuonyesha ball kupitia dstv,so kwa wenye uzoefu wa biashara hii naomba kujua costs za production na sehemu ya kuonyeshea nnayo n n kubwa pia ni sehemu y mkusanyiko wa watu.

Kumbukumbu ya Mpira wa Makaratasi!

jamiiforums.com - 2013-03-23 12:42:37 - Similar - Report/Block

Mpira wa Makaratasi ongeleeni kumbukumbu yenu, Naanza kuazima kiatu cha kushoto cha njumu kimeandikwa Maradona na nyengine nakumbuka Belo alikuwa tunampanga akija na mpira wake ule wa vipele akiringa tunaupiga pini hehehe(utani) Attached Thumbnails...

Namtafuta Kaka Mmoja anaitwa Twalib Mukri(Prezidaa Sinza Star)

jamiiforums.com - 2013-02-26 12:37:23 - Similar - Report/Block

Habari za wakati huu wana Jamii, ninashida namtafuta kaka mmoja anaitwa Twalib (Moloto) au amezoea kujiita majina ya wacheza mpira wa nje alikuwa ni mwenyekiti wa timu ya mpira sinza star. Nina shida nae sana kama kuna mtu anaweza kunisaidia kumpata nitashukuru.

Juan Mata vs Santi Cazorla vs David Silva.

jamiiforums.com - 2013-02-26 10:06:31 - Similar - Report/Block

Juan Mata,Santi Cazorla na David Silva....hawa ni wachezaji wenye asili ya hispania wanaocheza mpira katika vilabu vya Chelsea,Arsenal na Man city respectively nchini uingereza.Hawa wote wanafanana kwa kiasi kikubwa kwa sababu wote ni creative midfielders.Naomba tuwapambanishe katika category zifuatazo; (1).Kutawala dimba la kati.Hapa nik...

Ibara ya 35...Haki za wafanyakazi na waajiri

jamiiforums.com - 2013-06-10 09:08:41 - Similar - Report/Block

Ibara hii inazungumza kuhusu haki za mfanyakazi pamoja na muajiri wake pamoja na wajibu wa vyama vya wafanyakazi.....nadhani ibara hii ingeongeza wigo mpana zaidi wa haki za wafanyakazi na iwe wazi zaidi. Kwa Mfano nadhani ingetamka bayana juu ya haki ya msingi ya mfanyakazi kujiunga na chama cha wafanyakazi yakiwa ni maamuzi yake binafsi...

Nadhani Huyu Mtu Anatumika....

jamiiforums.com - 2013-02-21 15:31:40 - Similar - Report/Block

Ephraim Kibonde, mtangazaji wa Clouds FM kipindi Jahazi. Hivi, kuna mtu huwa anamuelewa anisaidie na mie kumuelewa! Mie nadhani huwa anatumiwa na wanasiasa, si bure... Nimefuatilia sana kipindi chake, huwa hana msimamo wake, leo anasimamia hili kesho anabadili msimamo. Pengine mie ndo mgumu kuelewa, nisaidiwe tafadhari...! [Sikiza Clouds...

Bungeni: JJ Mnyika azidi kuonyesha udhaifu wa Serikali ya CCM

jamiiforums.com - 2013-02-06 15:15:47 - Similar - Report/Block

Wakuu, Hivi sasa bungeni anaongea mbunge wa Ubungo, Mh! Mnyika, ameendelea kuonyesha udhaifu wa serikali kwamba: - Mkataba wa kimataifa wa kubabili uhalifu, umeletwa toka 1973 ha leo ni 2013, miaka arobaini, ndio serikali inauleta mkataba wa bungeni. -JK aliongopa kwenye mkutano wa APR Afrika ( issue ya MwanaHalisi) kwa kuwa serikali bado...

Nadia N.'s Review of Cloudz Hookah Lounge - Millbrae (5/5) on Yelp

yelp.com - 2013-05-13 17:18:38 - Similar - Report/Block

Absolutely love the hookah!!!!! The guy with blue eyes offers great customer service! The hookah is the best hookah so far!! Never smoked anything like that before! Let me add the menu is beyond…...

Derek K.'s Review of Cloudz Hookah Lounge - Millbrae (5/5) on Yelp

yelp.com - 2013-05-04 10:32:51 - Similar - Report/Block

Awesome Service! Great atmosphere, good food, and most importantly GOOD HOOKAH!...

Ushauri wa bure kwa Gerald HANDO & PJ

jamiiforums.com - 2013-03-25 10:25:48 - Similar - Report/Block

Ushauri wa bure kwa Gerald HANDO & PJ, katika maisha yenu ya kila siku, hususani kikazi, msisahau PROFESSIONALISM (WELEDI) amabao mmekuwa mkipiga domo bila ninyi wenyewe kutilia maanani au japo kuonyesha mnafanya kazi kwa weledi. Nashangaa sana na siachi kumaliza kushangaa, leo asubuh wakati wa kuperuzi na kudadisi umekwisha, Gerald anaan...

hivi SPUTANZA hipo hai kweli?

jamiiforums.com - 2013-05-05 06:13:19 - Similar - Report/Block

hiki chama cha wachezaji wa mpira wa miguu kiitwacho sputnza kwelikipo hai? na je kama kipo hai kinafanya kazi gani?...

evolveStar Join

Mpira Umekosa Ladha

jamiiforums.com - 2013-04-09 19:09:44 - Similar - Report/Block

Heri miaka ile ya kina Ronaldo, Redondo na Ronaldinho. UCL sasa inaboa! Ni lini tutawaona tena wachezaji wenye viwango vya uhakika?...

Tareq M.'s Review of Cloudz Hookah Lounge - Millbrae (5/5) on Yelp

yelp.com - 2013-04-22 08:34:23 - Similar - Report/Block

Amazing amazing amazing place.... I've been smoking hookah for ever and by far this is the best hookah i ever had. I drove all the way from Pleasant Hill and i will drive again soon..... Love it..

king"amuzi gani kina superspot msaaada plzzzzz

jamiiforums.com - 2012-10-15 11:16:37 - Similar - Report/Block

nataka kununua king:amuzi ambacho kitaniwezesha kuona mpira wa nje naomba msaada nikipi hicho kwa hapa tanzania...

nataka kujiunga na dstv arafu nifanye biashara ya kuonyesha mipira..italipa kweli?

jamiiforums.com - 2013-05-05 12:32:44 - Similar - Report/Block

nimeona kigoma inalipa sana yani unaweza pata pesa ya kulipia malipo ya mwezi ya dstv ndani ya mechi moja, cjui kwa mwanza..

Chuo cha uhasibu arusha kufunguliwa rasmi

jamiiforums.com - 2013-05-20 16:52:12 - Similar - Report/Block

Chuo cha Uhasibu Arusha kinawatangazia Wanafunzi wote wa kozi za ngazi ya Cheti hadi Stashahada ya Uzamili kwamba chuo kitafunguliwa siku ya Alhamisi tarehe 23 Mei, 2013. Kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 27 Mei, 2013 kutakuwa na zoezi la usajili katika lango kuu la kuingia chuoni kwa kuzingatia mashartiyafuatayo: 1.Kila Mwanafunzi aliyeomba...

setanta channel

jamiiforums.com - 2013-03-20 12:11:12 - Similar - Report/Block

hivi hawa setanta wa star times kuna mechi yoyote ya live wanayo onyesha aua zao ni kuonyesha mechi za zamani tu?. naombeni kujulishwa!. mia...

Nimelia vya kutosha...

jamiiforums.com - 2013-03-15 12:58:05 - Similar - Report/Block

Umewahi kulia? Mwenzenu nimelizwa sana na huyu mke wangu. Sasa nasema basi, bora nihamie Kimara alikosema Lisa Nadhani nitaachana na kilio hiki ili abaki salama. Attached Thumbnails...

Akikukosea kisha akakuomba msamaha kuna haja ya kumkomoa?

jamiiforums.com - 2013-03-19 17:28:25 - Similar - Report/Block

Kutokana na hali ya maisha ya sasa kwa kweli tunakoseana sana. hasa kwa walioko kwenye ndoa na wale wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa. Post nyingi humu ukiangalia utaona watu wanalalamika matatizo kwenye nyanja mbalimbali, kwenye mapenzi, Kazi, Familia n.k mii nadhani tutambue sisi binadamu tuna madhaifu mengi.. na kila mmoja anayodhambi i...

TBC na Uchaguzi wa Kenya

jamiiforums.com - 2013-03-04 09:27:22 - Similar - Report/Block

Najaribu kujiuliza kama Television ya taifa ya Kenya ingetumia kodi za Wakenya kurusha matangazo live ya uchaguzi wa Tanzania. Ivi watanzania tuna nini? Ivi TBC mmeshindwa hata kuonyesha kilimo kwanza? Kwanini huwa tunajipendekeza kwa Wakenya ambao hawatuthamini?...

Airtell-moja pekee haiwezekani!!!!!!!!!!!Mnatupot osha.

jamiiforums.com - 2013-03-25 09:07:08 - Similar - Report/Block

Mwenyezi Mungu alimuumba Adam lakini akaona kuna umuhimu wa kumpatia mwenza wake na kumpatia Eva. Nimeona nianze na suala hili la imani haswa baada ya hivi karibuni kusikia tangazo la kampuni hii (Airtell) ya simu ikituambia kuwa tuache kubadilisha lines za simu na tuwe na moja tu (ya Airtell nadhani). Mie ni mteja wao tokea mwaka 2003 wa...

Viwanja vya mpira vya ccm vipewe halmashauri za mikoa iwe mali ya umma

jamiiforums.com - 2013-03-25 12:25:15 - Similar - Report/Block

Wakati mfumo wa chama kimoja haikuwa rahisi kujua miradi ya umma na ya chama. Miradi iliyoanzishwa kwa ajili ya chama ilikuwa na dhumuni moja: kuhamasisha sera ya chama kimoja. Ndio maana ulikuwa ukichaguliwa mwenyekiti wa chama mkoa, ukuu wa mkoa unakuja automatic. Tulipobadili mfumo na kuingia mfumo wa vyama vingi miradi iliyojengwa kwa...

Mh. Lema Atinga eneo la Mlipuko wa Bomu Arusha.

jamiiforums.com - 2013-05-05 12:15:46 - Similar - Report/Block

Mh. Lema ameingia eneo la tukio na kupokelewa kwa furaha na wana Arusha. Anatoa nasaha kali. Na bahati mbaya Radio maria imekatisha hotuba yake. Nadhani wamehisi moto mkali kwenye hotuba yake.

Ligi Bora Duniani

jamiiforums.com - 2013-04-24 23:05:43 - Similar - Report/Block

Kwa wale wenzangu wanaopenda kubwabwaja bila kutumia vigezo kujudge ligi ipi ni bora, nadhani mko njiani kutuambia Bundesliga ndo ligi bora duniani kwa sababu timu za Bayern Munich na B.Dortmund zimezicharanga Barca na Real Madrid katika Semi-fainali za UCL. Come again.

News Alert: natafuta fundi

jamiiforums.com - 2013-03-19 06:28:54 - Similar - Report/Block

husika na kichwa cha habari mimi nipo Dar es salaam ninahitaji msaada wa mawazo mimi nina 250k nahitaji dish kubwa ambalo nitaweza kuona local channel pamoja na channel wa nje hususa ni za europe ambazo zitaweza kuonyesha LEAGUE ya UINGEREZA yani dish lenyewe lisi pungue channel 150..

Tabia hii haipendezi

jamiiforums.com - 2013-03-25 06:46:37 - Similar - Report/Block

Mwezi mmoja tu baada ya ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana. Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au kuangalia matokeo badala ya kuulizia...

MASHINDANO flani yalifanyika kumsaka young latelented business AFRICA MASHARIKI

jamiiforums.com - 2013-03-23 10:51:24 - Similar - Report/Block

NAOMBA MNIKUMBUSHE mashinddano yale yaliitwaje, kwa kizungu ili niweze ku-google? watanzania nakumbuka walitolewa wote, kijana mmj mtanzania, aliambiwa na CEO tabia yake ya upole, humble ndio vilimpoonza, kijana mwingine mrwanda anavaa miwani alikuwa muongeaji sana, lkn nadhani alikuja kutoka. nikumbusheni, nitafute kile kipindi...

Tamthilia maarufu na nzuri ya Shade of Sin.

jamiiforums.com - 2012-09-16 14:16:14 - Similar - Report/Block

ITV kuanzia tarehe 25 mwezi huu watarusha tena tamthilia ya Kibrazil iitwayo SHADE OF SIN,kwaujumla wale waliopata kuiangalia ni nzuri sana. Katika tamthilia kuna majina maarufu Preta,Rai,Ton,Mr Edward,Mr Alphonce,Paco,Fabrinho na wengine wengi. Iliwahi kurushwa na kituo hicho miaka kadhaa iliyopita na kwasasa watarusha tena nadhani wale...

LADY jay D tafuta mtoto ulee achana na Bifu

jamiiforums.com - 2013-06-09 23:41:25 - Similar - Report/Block

Wewe si msichana tena usichana umeshakutupa mkono . Yaani age au kilometers zimeenda sana . nakushauri tafuta mtoto hata wa uzeeni. Maana kila ukilala ukiamka wewe ni bifu . Kesi yako na Luge na clouds fm haijaisha tayari sasa umemvamia mwana FA unamwita Fatuma. Nini hasa unachotafuta hivi mtu akikataa kupiga show na wewe ni tatizo au den...

Nyumba nzima yapangishwa DSM, TMK.

jamiiforums.com - 2013-05-15 11:38:51 - Similar - Report/Block

Nyumba nzima yapangishwa. MAENEO: Temeke, Dar es salaam. Nyumba ipo mtaa wa Mashine ya Maji no5. Ni kama km 1 kutoka Mtoni Mtongani. Mtaa upo kati ya Buza na Mtongani. MAUMBILE: Nyumba ina sebule, vyumba vitano, sehemu ya jiko na choo cha ndani pamoja na store. Pia ina paking ya gari na sehemu za kulaza magari yenye geti. Ina umeme na ime...

huu uandishi ni zaidi ya dalili za ushoga!

jamiiforums.com - 2013-05-29 16:38:45 - Similar - Report/Block

Juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga! Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu! Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika N0um3r qw3l1 mch121 w4n9u akimaanisha "noma kweli mchizi wangu" sio siri huu uandishi unakera sana!...

Je unajua ni timu gani ya mpira wa miguu ya balani ulaya yenye mashabiki wengi kwa hapa bongo?

jamiiforums.com - 2013-04-22 13:05:46 - Similar - Report/Block

Huwa siku zote najiuliza kwamba ni timu gani ya ulaya yenye mashabiki wengi zaidi ya nyingine kwa hapa bongo? hivyo basi nimeamua kuanzisha hii thread ili kupata sample ya wapiga kura 500 ambao ama ni mashabiki au wapenzi wa timu hizi zifuatazo kushiriki andika jina la timu unayoishabikia ulaya na usipige kura zaidi ya mara moja mwisho nt...

bangi iliyo kamatwa na polisi yapotelea polisi

jamiiforums.com - 2013-03-11 13:48:38 - Similar - Report/Block

mwezi mmoja uliopita jeshi la polisi lilitangaza kukamatwa kwa magunia tisini ya bangi na ushahidi wa picha ulikuwepo chakushangaza ni hayo magunia yalikua tisini pindi walipoyakamata,muda huu yamebaki kama mgunia matano nadhani. sasa kama polisi kunaibiwa huku ngalolo tutakua salama kweli?? waandishi wa habari wanatakiwa wahji hili suala...

Je ni halali kwa katibu mkuu utumishi kuwachomeka watoto wake TPA & PSPF

jamiiforums.com - 2013-04-25 12:14:06 - Similar - Report/Block

Taarifa toka Tanzania Port Authority na PSPF zinasema kwamba tena za uhakika watanzania tutaendelea kuhangaikia matumbo ya watoto wa vigogo hapa nchini hebu angalia katibu mkuu utumishi jina nadhani wengi mnamfahamu kaweka watoto wake wote wawili bandarini na mtoto wake wa kike PSPF jamani hii haki kweli hebu. Mh. Mwakyembe pitia tena maf...

News Alert: Hv hawa polisi ni miungu watu?

jamiiforums.com - 2013-05-05 15:57:09 - Similar - Report/Block

Habarini wanajukwaa,naomba nitumie dakika mbili kuuliza na kwa yeyote mwenye ufahamu na anifungue.Hv hawa polisi wa usalama barabarani ni miungu watu?hv kuna uhalali gani wa kila gari inayopita dereva atoe 3000 au 5000?inashangaza tabia hii inayochangia wananchi kulichukia jeshi la polisi na serikali kwa ujumla.Pamoja na kauli yao ya sung...

Nassari amwambia Maghembe: Eti nawe ni Profesa!

jamiiforums.com - 2013-04-25 17:41:48 - Similar - Report/Block

Akichangia hotuba ya wizara ya maji, Mbunge Nassari amemkosoa kwa jazba Waziri wa maji kwa kuhoji kuwa kijiji alichokiandika Waziri kuwa kimepewa maji hakipo mahali popote Tanzania na kumwita mwongo na kwamba labda kipo Mwanga jimboni kwa waziri. Akaendelea kuhoji eti na wewe ni Professa! I was shocked! Kakosa adabu kabisa! Huyu anaweza k...

tENGA NA SERIKALI NANI MWENYE UBAVU?

jamiiforums.com - 2013-03-04 06:59:18 - Similar - Report/Block

Mpira wetu katika sekta ya uongozi uliokwisha muda wake umeingia katika mzozo ambao kama hawatakaa chini huenda tukafikia pabaya na hii ni kwa sababu tu ya kuleta siasi sarakasi katika katiba ya Tff...KAMA SERIKALI haitambui katiba kisa marekebisho madogo tu ..ambayo wanaweza kukaa na kuelewana huu ni ujinga kwa tenga kukaa kikao cha kimy...

Wafanyakazi: TUNAIMANI KUBWA NA CCM

jamiiforums.com - 2013-05-02 01:24:15 - Similar - Report/Block

Kitendo cha kualikwa kwa Katibu Mkuu wa CCM Coln. Mstaafu Abdulhaman Kinana kwenye sherehe za wafanyakazi nchini Mei mosi jijini Mbeya ni uthibitisho kuwa wafanya kazi wana imani kubwa na CCM kwasasa baada ya mivutano ya muda mrefu. Mara ya mwisho Katibu Mkuu wa CCM kukaribishwa kwenye shere za Mei mosi ni Marehem Mzee Kawawa. ikumbukwe C...

Serikali ya TZ..tutumie ziara ya rais Xin wa China kuifanyia TZ mambo ya maana…ili tukumbukwe…..

jamiiforums.com - 2013-03-23 03:08:13 - Similar - Report/Block

Rais Xin anakuja TZ….Hii ni fursa pekee na adimu sana kwa serikali ya JK kuifanyia jambo la maana TZ..ili angalau wakumbukwe na vizazi vijavyo….kama ambavyo tunamkumbuka mwalimu Nyerere..…. Serikari ya China in pesa na teknolojia ya kutosha….na wana julikana kwa ufanisi wa mikataba ya kinchi (bilateral relationships)kokote walikohusika….H...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.