Quantcast
     

Chadema wamtangazia vita Spika Makinda

jamiiforums.com - 2013-04-20 00:28:18 - Similar - Report/Block

Spika wa Bunge, Anna Makinda Dodoma. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema kuwa watakata rufaa katika Kamati ya Kanuni ya Bunge dhidi ya mwongozo wa Spika uliobariki adhabu ya kuwatimua kwa siku tano wabunge sita wa Chadema kwa kudharau mamlaka ya Spika. Akitoa mwongozo wake jana, Spika Anne Makinda alibariki...

Anna Makinda anaipenda sana CHADEMA

jamiiforums.com - 2013-04-23 08:47:58 - Similar - Report/Block

MHE.ANNA MAKINDA (SPIKA WA BUNGE) ANAIPENDA SANA CHADEMA KULIKO HATA MHE.SAMWEL SITTA. Spika wa Bunge letu tukufu ni Mhe.Anna Makinda.Mwanamke wa kwanza nchini kuongoza moja ya mihimili mikuu ya serikali.Hii ni ishara ya kuondokana na "mfumo dume" katika uongozi na ni ishara ya kuongezeka kwa imani dhidi ya wanawake tofauti na zamani. Mhe...

Makinda aruhusu kiongozi wa upinzani na chadema washambuliwe-mkakati wa ccm

jamiiforums.com - 2013-04-12 09:32:05 - Similar - Report/Block

Spika Anna Makinda, ameruhusu Kiongozi wa Upinzani Bungeni kushambuliwa, kuhusu matokeo yake akiwa Shuleni, akaruhusu CHADEMA waitwe wauaji, akakataza waliotaka Mwigulu afute kauli Bungeni, akashangilia pamoja na Wabunge wengine wa CCM waliokubaliana na maneno hayo. Watanzania wanaangalia Bunge, wanajua Bunge linavyoendeshwa. Wanajua Spik...

CCM : Kiti cha Spika kimeinyima nafasi CCM!

jamiiforums.com - 2013-04-24 07:49:37 - Similar - Report/Block

Kishindo cha mikutano ya Wabunge sita wa CHADEMA waliosimamishwa na Naibu Spika,Job Ndugai, kwa uamuzi uliungwa mkono na Spika Anne Semamba Makinda,kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti kwa siku tano,kimeitikisa CCM. Inasemwa kwamba Kiti cha Spika kimewapa CHADEMA nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara wasiyostahili na hivyo kuibana na kuji...

Makinda, Ndugai wametuharibia Bunge

jamiiforums.com - 2013-04-21 09:27:25 - Similar - Report/Block

Prudence Karugendo FIKIRIA mbunge anasimama bungeni na kutamka kwa kujiamini, akimlenga mbunge mwenzake, kuwa mimi siongei na mbwa bali naongea na mfuga mbwa! Mwendesha Bunge, spika au naibu spika, anaridhia tamko hilo bila kumchukulia hatua yoyote ya kimaadili msemaji! Mbunge mwingine anaamka na kufyatua matusi ya nguoni huku akilindwa n...

Matusi bungeni: wadau walaani wabunge

jamiiforums.com - 2013-04-17 12:14:36 - Similar - Report/Block

Dar na Dodoma. Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda akitangaza kuanza kuwatoa nje ya Ukumbi wa Bunge wanaotumia lugha za matusi,baadhi ya wanasiasa, wanaharakatina wanazuoni wamesema wabungewanatumia mamilioni ya kodi za wananchi, hivyo wanatakiwa kuheshimu hilo na kujikita zaidi kuzungumzia masuala ya msingi. Juzi Mbunge wa Kondoa Kusini...

News Alert: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

jamiiforums.com - 2013-02-12 10:58:53 - Similar - Report/Block

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema hoja zote binafsi zilizositishwa katika Bunge la 10, sasa zitajadiliwa katika Bunge lijalo litakaloanza Aprili 9. Makinda alisema wahusika wa hoja, wanatakiwa kujipanga upya na kuwasilisha hoja zao. Makinda kwa sasa anahudhuria Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma. Hata hivyo, ni hoja pekee ya Jos...

Anne Makinda VS Sam Sitta: Nani mkali?

jamiiforums.com - 2013-04-23 10:57:04 - Similar - Report/Block

Ndugu wana JF, nadhan weng wetu tumezishuhudia awamu mbili za bunge letu tukufu yaani bunge la tisa lililoongozwa na Samwel Sitta na bunge la kumi linaloongozwa na mama A. Makinda. Utendaji wa awamu zote mbil tulizishuhudia, yup kati yao alilipa heshma bunge na kulipaisha na yupi kalirudisha enzi za chama kimoja?...

News Alert: Spika na kivuli cha ccm.....

jamiiforums.com - 2013-04-21 09:30:19 - Similar - Report/Block

.....kitendo cha spika wa bunge kuhalalisha adhabu ya wabunge wa chadema na kumuacha mbunge wao akiyetukana tusi lililowatukana pia wapiga kura wake kinadhihirisha jins gan huyu bb n kivuli cha cmm kwa kutokutenda haki.....

Spika Makinda amewithdraw kuwasilishwa kwa hotuba ya wizara kivuli ya Katiba na Sheria

jamiiforums.com - 2013-05-03 08:17:25 - Similar - Report/Block

Katika kile kinachoonesha kuwa kuwa kuna mkakati kabambe wa kukwamisha upinzani bungeni, hivi punde Spika Makinda ame-withdraw uwasilishwaji wa hotuba ya Wiziri kivuli, Katiba na Sheria, Mheshimiwa Tundu Lissu kwa madai kuwa wamechelewa kuileta mezani kwake. Nadhani CHADEMA wamefanya hivyo ili kuvuruga mpango wa CCM na Spika kupata hotuba...

Speaker you are disgrace unaijenga Chadema in the open

jamiiforums.com - 2013-05-03 17:43:00 - Similar - Report/Block

Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliom...

Bunge enzi ya cuf na bunge wakatu huu wa chadema nini unafaidi na nini unakikosa?

jamiiforums.com - 2013-04-30 16:22:15 - Similar - Report/Block

Wamajamvi tujikumbushe bunge enzi CUF wakiongoza kambi ya upinzani,ni nini unakikosa kutoka kwao. Na Je? Sasahivi bunge likiongozwa na Chadema nini kinakuvutia au nini hakikuvutíi ambacho CUF walikuwa wanakifanya? Au Nini CUF walikuwa hawakifanyi ambacho sasahivi CHADEMA wanakifanya na kinakuvutia?.

evolveStar Join

Spika Makinda aboronga tena,ashindwa kumjibu Tundu Lissu

jamiiforums.com - 2013-05-03 17:41:30 - Similar - Report/Block

Kabla ya bunge kukaa kama kamati,MH.LISSU alisoma kanuni inayomtaka mbunge kumpa taarifa spika kama idadi ya wabunge haitoshi kufanya maamuzi, Lissu alimpa taarifa kuwa wabunge waliopo ni Mia thelathini na ... badala ya mia sabini na ... Spika badala ya kutoa majibu akang'aka kuwa watu wengine wanachelewesha mambo, akasema 'huwezi kuniamb...

News Alert: Chadema hakina mfumo thabiti wa kiuongozi wa kuunda serikali ya tanzania mwaka 2015.

jamiiforums.com - 2013-06-09 23:27:34 - Similar - Report/Block

NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakina uwezo wa kuunda serikali katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Ndugai, amesema hatua hiyo inatokana na jinsi umma na taasisi zake vikiwamo vyombo vya habari, ‘vinavyokibeba’ chama hicho pasipo kutafakari kuhusu udhaifu wa Chadema. Naibu Spika alisema, Cha...

Baadhi ya Nukuu za vijembe, mwongozo wa spika-Bungeni

jamiiforums.com - 2013-04-22 14:17:20 - Similar - Report/Block

Dodoma. Katika wiki mbili za mwanzo za Mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti, vijembe, matusi, misimamo na maneno ya kuudhi vilitawala bungeni. Baadhi ya kauli zilizotolewa na nyingi kuombewa mwongozo wa Spika ni kama ifuatavyo: “Tutaliheshimu Bunge kama taasisi huru, lakini si lilivyo sasa kama taasisi ya CCM,” Freeman Mbowe-Chadema, Kiongo...

Nitashangilia kifo cha Makinda kama Waingereza walivyoshangilia kifo cha Thatcher

jamiiforums.com - 2013-04-19 10:29:59 - Similar - Report/Block

Wiki iliyopita tulishuhudia sehemu mbzlimbali duniani kwa namna mbalimbali wakishangilia kifo cha waziri mkuu wa Uingereza Thatcher,South Africa,Argentina,Uingereza na hata NYerere angekuwepo angeshangilia....Leo na mimi nasema kuwa nitashangilia endapo Spika wa sasa wa bunge na naibu wake,Makinda na Ndugai wakifa kwa kuangusha sherehe!!...

Kwa kanuni hizi speaker anaweza kuchapa makofi mbunge na ikaingizwa katika kumbukumbu

jamiiforums.com - 2013-04-22 17:26:08 - Similar - Report/Block

Spika wa bunge amesema kama kuna jambo kanuni imekaa kimya spika ana mamlaka ya kufanya apendavyo na kisha itaingizwa katika kumbukumbu za bunge kwa matumizi ya baadae, kwa maana hiyo Ndugai angeamua kuwapiga vibao akina Lisu ingeingizwa katika kumbukumbu...

Arusha ni vita kati ya Lema na Nanyaro

jamiiforums.com - 2013-05-03 10:50:46 - Similar - Report/Block

Vita kati ya Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Arusha Mjini na Mbunge wa jimbo hilo (aka mbunge wa maandamano)au Maandamano Lema, imeshika kasi baada ya Lema kuamua kuacha vikao vya bunge na kutishia kumtafuta uso kwa uso Nanyaro ili wapambane. nadhan sinema hii inaonesha upande wao wa pili wa tabia. stay tuned for more!!...

Kama ccm ingekuwa inaaminika kwa umma

jamiiforums.com - 2013-03-18 12:11:55 - Similar - Report/Block

Kila tukio baya na la kusikitisha CCM kwa kushirikiana na vyombo vya dola wamekuwa wakitupa lawama hizo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Matukio ya migomo ya vyuo vikuu - chadema inahusika. Mauaji ya Chacha wangwe- chadema inahusika. Kutekwa, kuteswa na kutelekezwa kwa Dr.Ulimboka-chadema inahusika. Maandamano ya mtwara kudai gesi y...

Wabunge wa upinzani waliteka Bunge.

jamiiforums.com - 2013-02-04 15:43:43 - Similar - Report/Block

Wamesimama na kuwasha maiki na kuimba ccm wakati Zarina Madabida akichangia hoja binafsi ya John Mnyika. Naibu spika afuta hoja, aahirisha bunge na kuita kamati ya uongozi.

MJADALA: Spika yuko sahihi kufuta Kamati za Kudumu za Bunge na kuunda nyingine mpya?

jamiiforums.com - 2013-02-11 13:54:04 - Similar - Report/Block

Kamati za Kudumu za Nishati na Madini pamoja na ile Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma almaarufu kama POAC zimefutwa.Spika amezifuta na kuunda nyingine mpya. Je,Spika yuko sahihi kisheria na kimahitaji? Kwanini? Tujadili...

Makinda asitukoroge

jamiiforums.com - 2013-04-20 08:35:34 - Similar - Report/Block

Nasema asitukoroge kwasababu kifungu alisosoma kuhalalisha makosa ya ndugaihakisemi maamuzi yatatokana na mawazo yake kinasema maamuzi yatokane na kanuni na kama kanuni haisemi chochote juu ya kosa lililotokea maamuzi yafuate busara zilizowahi kufanywa na mabunge mengine na kama hakuna bunge lililowahi kutoa hukumo kama hiyo bado spika ha...

matokeo ya mtihani na mpango wa kurudia mtihani.

jamiiforums.com - 2013-02-22 14:52:17 - Similar - Report/Block

Hizi fununu za kuwapa fursa watahiniwa wale walioshindwa mitihani, basi, basi tutazamie serikari kukubali kurudia upigaji wa kura pale ambapo mteule wa ccm atakapo shindwa uchaguzi wa urais kwa muhula ujao. Bunge letu na makinda pia wameshindwa mtihani wao katika bunge la kumi. Hongera kawambwa.

Mh Godbless Lema: Ushahidi wangu kwamba Rais Kikwete ni KINARA wa UDINI tayari umekamilika.

jamiiforums.com - 2013-05-04 08:20:43 - Similar - Report/Block

Mh Lema amethibitisha ya kwamba ushahidi alioagizwa kuuwasilisha kwa spika wa bunge ya kwamba Rais Jakaya Kikwete ni kinara wa udini tayari ameshaukamilisha. Aliyasema haya hapo jana nilipokuwa nikizungumza naye ya kwamba aliamriwa kuuwasilisha katika vikao vya bunge vya wiki hii lakini akashindwa kufanya hivyo kutokana na uhuni wa jeshi...

Ghrrrr Yuko wapi Jenister Mhagama?

jamiiforums.com - 2013-05-03 08:36:49 - Similar - Report/Block

Chini ya Makinda na Ndugai Bunge hupwaya sana na halivutii kulifuatilia!...

ccm na cuf ni ndugu moja?

jamiiforums.com - 2013-04-16 15:59:56 - Similar - Report/Block

:Ukifuatilia kikao cha bunge kinachoendelea utagundua wabunge wa chama cha wananchi cuf hawaikosoi hata kidogo bajeti ya waziri mkuu.. :Hivi wabunge wa cuf ni wapinzani au ni ccm? mara nyingi wakiongea wanaiponda chadema.. sasa najiuliza hawa wako upande gani wa wabunge... :Tangu wamepoteza nafasi ya kuwa kambi rasmi ya upinzani wamegeuka...

Makinda avunja kanuni nusu ya wabunge hawapo bungeni

jamiiforums.com - 2013-05-03 17:35:05 - Similar - Report/Block

Tundu Lisu aomba mwangozo lakini Makinda agoma asema hayumnishwi na hoja hivyo na asipindishe maneno yeye Makinda ndie anajua kila kitu...

Comment on The cold truth: PS Vita sold less in one year than the PSP in 1 month by k3nn

wololo.net - 2013-04-21 00:46:37 - Similar - Report/Block

the vita died because no one (in their right mind) wants to re-buy their games in the psp for the vita. when $ony stopped the umd and didn’t give users a way to convert them for playing in the vita, that sealed the vita’s fate. that’s why everyone is looking for a vita hack even for just the psp emu, so they could play their psp games in...

Ni CHADEMA tu?

jamiiforums.com - 2013-06-10 14:39:00 - Similar - Report/Block

CCM nawauliza, wapinzani wenu ni CHADEMA tu hapa Tanzania? Bungeni CHADEMA,kwenye kampeni CHADEMA,mitandaoni CHADEMA na kila mahali CHADEMA. Tangu wajiunge rasmi na CCM Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wamekuwa wakiizungumzia vibaya CHADEMA tu na viongozi wake. Akisema Prof.Lipumba wa CUF au Mrema wa TLP au Mbatia wa NCCR-Mageuzi au Ch...

Dr Slaa alikuwa maarufu bungeni bila lugha ya kuudhi wala matusi, wabunge vijana CHADEMA igeni

jamiiforums.com - 2013-04-20 06:53:05 - Similar - Report/Block

Yanayoendelea bungeni kwa sasa yana athari kwa jamii inayoiunga mkono chadema japo wengi hawataki kukubali ukweli huu. Inawezekana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa kitendo cha wabunge wa chadema kutolewa nje kila wakati hakiwajengei tena umaarufu bali kinaanza kuharibu sifa nzuri ya chama. Umakini wa chadema kwa hili una walakini na mmekubal...

Wabunge wa chadema waliosiamishwa kwa kukosa adabu wazidi kujidhalilisha

jamiiforums.com - 2013-04-22 15:50:30 - Similar - Report/Block

Wabunge waliosimamishwa ni Tundu Lissu (Singida Mashariki), Godbless Lema (Arusha Mjini), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ (Mbeya Mjini), Highness Kiwia (Ilemela), Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini) na Ezekiah Wenje (Nyamagana)Mwanza. Wabunge hao sita wa Chadema waliosimamishwa bungeni wameamua kwenda kuwashtaki Spika Anne Makinda na Naibu wake...

ipi sura ya bunge mbele ya ufisadi?

jamiiforums.com - 2013-03-22 06:47:36 - Similar - Report/Block

UTANGULIZI. Katika watu ambao taifa ili haliwezi kuwasahau kutokana na nafasi zao ambazo walikuwa nazo,wanazo na pengine wataendelea kuwa nazo ni ndugu yetu A.CHENGE. Nafasi moja kubwa aliyopata kuwa nayo na hato ipata tena maishani mwake ni ile ya KUWA MWANASHERIA MKUU. Ndugu zangu kazi moja kubwa ya mwanasheria mkuu ni kusimamia maslai...

Comment on SKFU got his hands on a Vita devkit…says it has vulnerabilities that could help hacking it by » Rumors of 4G Vita, FW update, and price cut. Patent shows “Next Gen” Vita design

wololo.net - 2013-02-12 22:27:26 - Similar - Report/Block

Whats important to note however is some of its inherent similarities to the Dev Kit Vita that we’ve seen...

Comment on Video: VHBL Homebrew Loader running on Vita Firmware 2.06 by Vita

wololo.net - 2013-03-12 20:59:27 - Similar - Report/Block

http://192.168.1.108/ chat server Who wants to talk about ps vita exploits , you put a name and click on the ps vita...

The Vita Hasn't Been Completely Cracked Yet, But One Guy Is Getting Awfully Close [Ps Vita]

kotaku.com - 2012-09-08 00:00:00 - Similar - Report/Block

psvita Sony wanted to make sure the Vita was difficult to crack . Earlier this year, some folks at wololo found exploitable in the Vita and were able to run custom (homebrew) software. Sony pulled some games in order to remove the code, and not too much about hacking the Vita has been heard since.

Haya ndo matusi ya wabungeambayo spika ameahidikuwashitaki polisi

jamiiforums.com - 2013-04-17 11:48:14 - Similar - Report/Block

Lugha kama hizi zimesababisha Watanzania wengi wakose hamu ya kusikiliza vikao vya Bunge. Tumechoshwa na lugha chafu za waheshimiwa. Bunge ni sehemu ambayo tulipaswa kuwa tunasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana. JOSEPH MBILINYI: "Mambo mengi ya nchi hii hayaendi kutokana na SERIKALI PUMBAVU.... Ha

Comment on The Playstation Vita is still relevant by josh

wololo.net - 2013-05-20 04:01:16 - Similar - Report/Block

Vita will fail, and Sony is just too proud to ever take a look at the freaking facts. I’ve had a vita since release, and honestly, I’ve only used it to play little big planet, and MGS. (which is about 10 times). Then, I bought a nexus 4 and gave the vita to my dad(all he uses it for is to look at nature pics -.-) Vita, there’s no other wa...

RASIMU Ibara 132 (1) Maana Yake Nini Ana na Kificho Hawawezi Kugombea Tena U-spika 2015?

jamiiforums.com - 2013-06-05 04:48:45 - Similar - Report/Block

132. Mtu atastahili kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika endapo atakuwa na sifa zifuatazo- (a) angalau awe na elimu ya Chuo Kikuu kinachotambulika kwa mujibu wa sheria za nchi;...

Wabunge waangalia taarifa zao kibao kwenye Vitambulisho vya Taifa

jamiiforums.com - 2013-04-16 11:46:37 - Similar - Report/Block

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wamejiridhisha kuhusu wingi wa taarifa zilizomo katika Vitambulisho vya Taifa. Hii imefanyika katika ukumbi wa Msekwa mara baada ya Spika wa Makinda kuwatangazia wabunge ambao hawajachukua vitambulisho kuchukua vitambulisho vyao na ambao wana wasiwasi kuhusu wingi wa taarifa zilizomo...

Makinda amgomea Lissu kumkompesha muda

jamiiforums.com - 2013-05-03 10:57:04 - Similar - Report/Block

Spika amemkatalia muda huu kumkompesha tundu lisu muda uliobaki wa kamati ya sheria amemkatalia ila jana wamekopeshana kweli kuwabana wapinzani ivo ndo kuwamaliza au kujimaliza ccm?...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.