Quantcast
     

Anko Akiendelea na matanuzi huku akisema umri ni namba tu.

jamiiforums.com - 2013-05-14 01:27:45 - Similar - Report/Block

They can't get enough of each other! Eddie Murphy and his model girlfriend Paige Butcher clutch hands on daily coffee run They're frequently spotted grabbing caffeinated beverages together. And Sunday morning proved to be no exception, as Eddie Murphy and girlfriend Paige Butcher stepped out in Los Angeles en route to a local coffeehouse...

Wadau wa TBC Taifa hii ni kero.

jamiiforums.com - 2013-02-21 10:24:44 - Similar - Report/Block

Kama ilivyo kawaida ya radio ya ukweli na uwazi leo hii ni aibu tupu. Rais Mwai kibaki wakati huu akiendelea kuhutubia taifa letu kupitia wazee wa Dsm imekuwa ikikatikakatika huku Mbiliabeli na wimbo wa Nairobi ukitumbuiza zaidi kuliko hotuba ya rais huyo wa kenya. Hii ni aibu kubwa kwa Watz!...

Profesa mhongo ulidanganya watz kwaba mgao utakuwa historia.

jamiiforums.com - 2013-03-01 14:11:33 - Similar - Report/Block

Waziri wa nishati na madini mwaka jana aliingia kwa mkwara mzito akisema hakuna umeme wa mgao akiamini kuwa kwa sababu ametamka hivyo basi mgao utaisha hivi sasa huku tarime ikishafka saa 12 jioni umeme unakatka hadi saa 10 alfajiri ndio unarudi tunaomba tujuzwe kama huo si mgao ni nini?...

Akataka nimle tIGO!

jamiiforums.com - 2013-04-08 17:26:39 - Similar - Report/Block

Haka kabinti kamesoma O'level na A level Shule za Wasichana (Kifungilo na St Marian Girls), nimefahamiana nako takribani mwaka wa tano sasa na kananizimikia sana lkn haikua rahisi kufanya nako chochote kwasababu ya umri na kwao ni geti kali, juzi siku ya Easter fursa ikatokea, kakaibuka home kwasababu familia yao na yetu ni marafiki na kw...

Ni CHADEMA tu?

jamiiforums.com - 2013-06-10 14:39:00 - Similar - Report/Block

CCM nawauliza, wapinzani wenu ni CHADEMA tu hapa Tanzania? Bungeni CHADEMA,kwenye kampeni CHADEMA,mitandaoni CHADEMA na kila mahali CHADEMA. Tangu wajiunge rasmi na CCM Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wamekuwa wakiizungumzia vibaya CHADEMA tu na viongozi wake. Akisema Prof.Lipumba wa CUF au Mrema wa TLP au Mbatia wa NCCR-Mageuzi au Ch...

Naombeni mnijuze!

jamiiforums.com - 2013-03-19 18:25:04 - Similar - Report/Block

Jaman habarini wapendwa.naombeni mnijuze juu ya hili kwamba mnawezaje kuzungumzia suala la umri ktk mapenzi.yan je kuna madhara yoyote ikiwa mwanaume na mwanamke wataoana wakiwa wana umri sawa? Au uliopshana yan mf: msichana miaka 26 then mwanaume miaka 28 kwan kwa upande wangu huw naamini atlist mwanaume n mwanamke wapishane miaka 5-10 n...

Mkorogo wasababisha hedhi kukoma

jamiiforums.com - 2012-09-19 07:56:53 - Similar - Report/Block

WANAWAKE nchini wamehadharishwa juu ya matumizi ya dawa za kujichubua, kwani husababisha madhara yakiwamo ya kukoma kwa hedhi kabla ya umri.Dawa hizo za mkorogo, zinaweza kusababisha kukoma hedhi kwa mwanamke mwenye umri wa hata miaka 30 hadi 35, tofauti na kawaida ya miaka 45.Hayo yalibainishwa jana na mkufunzi wa taasisi isiyo ya Serika...

Natafuta mke!

jamiiforums.com - 2013-04-19 10:20:56 - Similar - Report/Block

Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.

Natafuta mke wa kuoa mkristo mwenye utayari- kuolewa

jamiiforums.com - 2013-05-29 15:52:32 - Similar - Report/Block

Naitwa Henry umri miaka 30, natafuta mchumba awe mke wangu baada ya kufahamiana awe mkristo,asiwe na mtoto hajawahi kuolewa umri kuanzia (22-30)umbo la kawaida asiwe mnene kabila/rangi yeyote mm ni mfanyakazi aliye tayari tuwasiliane kupitia namba (0753-484026 au henrymunishi@yahoo.com )sms zote zitajibiwa. ONYO-SIITAJI MWANAFUNZI...

Hello! NATAFUTA MCHUMBA KIKE

jamiiforums.com - 2013-05-06 02:50:23 - Similar - Report/Block

Mim n kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, n graduate mtarajiwa toka 1 of the public versities. Natafta bint alyetayari wa kumake naye future, awe mkristo na mwenye umri 20-24. Elimu na rangi havizngatiwi. Wasifu wangu wanje n uref wastan, mwembamba wastan and slightly black. Wasfu wa ndan n, loving, honesty and caring man. Pia n mche...

narudi tz nahitaji kampan ya mdada {GAL}charming

jamiiforums.com - 2013-03-17 20:05:05 - Similar - Report/Block

Umri wangu ni miaka 29 ni mstaarabu na mcheshi. nasoma na kufanyakazi nje ya nchi. Nitakuwa TZ very soon for few months kwa ajili ya utafiti {research} kwa course yangu. So kwa kipindi hicho nitapenda sana nipate rafiki wa kike just for kampan . Sex au mapenzi sio priority yangu. Awe mdada mstaarabu na aliyechangamka yaani mcheshi . Umri...

Ni wakati waaaa Digitali

jamiiforums.com - 2013-03-25 15:08:24 - Similar - Report/Block

loh niliposikia mmachanells mengi from Milan Cable hasa kwa sie wapenda movie nilichop money na kuimbilia bila kusita huku nikiikimbia DSTV kwa kuona Expensive na kuikimbia startimes kwa kuona inaboa channel chache plus kuscratch... (itabidi nifungue stoo ya decodas)du sasa huku nilikohamia nako mmh hizi scratching mbona sikuzitegemeaaaaa...

evolveStar Join

Natafuta Mchumba , msichana anayejiheshimu

jamiiforums.com - 2013-03-11 11:39:12 - Similar - Report/Block

Mimi ni mwanaume,umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni ya chuo kikuu (masterz),ni mwajiriwa, natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 20-30,dini yoyote ile,rangi yoyote ile,sio lazima awe anafanya kazi,elimu kuanzia form six na kuendelea,asiwe bonge au mwembamba sana, yeyote aliye serious aniPM for more conversations. NB: Mimi sio domozege,i...

Natafuta marafiki wa kawaida wa jinsia zote ambao wapo ktk mkoa wa mwanza.

jamiiforums.com - 2013-04-12 07:23:17 - Similar - Report/Block

Habari zenu wana jamii,mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 43,natafuta marafiki wa kawaida wa jinsia zote yaani wanaume na wanawake wawe na umri wa kuanzia miaka 35 na kuendelea,wawe wanaishi au wapo ktk mkoa wa wa MWANZA.Namba yangu ni 0756 870 381,KARIBUNI MARAFIKI.

Swala la Rwakatale: sio Mwigulu peke yake Mbona Wasira, Nape hamujumuhishi?

jamiiforums.com - 2013-05-09 06:23:42 - Similar - Report/Block

Katika kesi ya Rwakatale japokuwa movi ilitengenezwa na Mwigulu na elieditiwa na Nape huku ikitangazwa rasmi na Wassira huku wakereketwa wakuu wakiwa Eng. Ester Manyanya, Lukuvi, kaa Mbali na Tembo, Mwampamba na Shonza na wabunge viti maalumu wa ccm mbona hamwasemi. Hii saga si mtu mmoja ni kundi kubwa ila kiongozi wake ni Mwigulu akisaid...

CCM; Sasa waamua kuwatumia watoto wa shule za msingi kwenye Siasa!

jamiiforums.com - 2013-04-19 13:12:09 - Similar - Report/Block

Nijuavyo mimi si sahihi kuwatumia watoto katika siasa na jambo hili ni kinyume na sheria za nchi na sheria za Kimataifa zinazolinda haki za watoto (Wanasheria wata nisahihisha kama nimekosea). Nijuavyo mimi ni kwamba kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, watu wanaoruhusiwa kushiriki katika siasa (kupiga kura n.k) ni ku...

kweli ipo kazi kupata kazi....... ila bado natafuta kazi....... tafadhali tusaidiane!!!!

jamiiforums.com - 2013-03-04 10:48:40 - Similar - Report/Block

mabibi na mabwana!! salam zenu kwanza!!! salute!! ama baada ya salam, naombeni kuwaeleza kilicho moyoni, mimi ni kijana wa miaka 22, naishi mabibo dar es salaam, ni mwanafunzi wa chuo. kwa kweli, nimejitahidi sana kusoma kwa bidii semister ya kwanza huku nikiwa na deni kubwa la ada na pesa ya hostel, nilijitahidi sana kutafuta japo kazi...

Naruto Generations: All Support Characters Playable Glitch

saiyanisland.com - 2012-07-20 20:27:46 - Similar - Report/Block

Anko, Kurenai, Shizune, Tayuya, Kidomaru, Jirobo, Sakon, Fu, Torune, Darui, Cee, Akatsuchi, Kurotsuchi, Ao, and Chojuro – these are all the support-only characters in Naruto Shippuden: Ultimate Ninja Storm Generations (Naruto Generations). We’re sure many of you wanted to play with these, well, now you can! Saiyan Island’...

Hata Wazungu wanakeketa kama ulikuwa hujui!

jamiiforums.com - 2013-04-22 05:37:36 - Similar - Report/Block

Kumbe hata wazungu wa wingereza wanakeketa wanawake nawanakuja huku kuweka ma NGO's za kupinga na kutokomeza ukeketaji kama ni ukatili dhidi ya wanawake!ajabu hizo NGO's zinatoka wingereza!wakati huko Westham ndo wanakeketa kama wahuku musoma,Dodoma na kwingineko je kwanini wakija huku wanatufanya kama ni jamii isiyokuwa wastaarabu?Ndo ma...

Mwananchi: Azam yapeta, Simba yala kichapo Angola

jamiiforums.com - 2013-03-04 02:53:09 - Similar - Report/Block

Azam imesonga mbele Kombe la Shirikisho kwa kuichapa Al Nasri kwa mabao 5-0, huku Simba na Jamhuri ya Pemba zikiogelea vipigo visivyoweza kusahaulika katika michuano ya katika Ligi ya Mabingwa. Mabingwa wa Tanzania, Simba walikubali kipigo mabao 4-0 kutoka kwa Libolo FC ya Angola, huku Jamhuri ikinyukwa kwa mabao 5-0 na St Geogre ya Ethio...

Clouds wanaropoka sana

jamiiforums.com - 2013-02-28 09:12:34 - Similar - Report/Block

Sikushangaa na haya yaliyotokea clouds FM. Hawa huwa ni waropokaji. Kuna muda wanajadili mambo mpaka unaona kuwa hapa kuna kuvunja maadili ya Mtanzania/mwafrika. Hawajali kuwa kuna watoto wa umri mdogo! Sawa na channel ten, matapeli wote wa dini zinazoota kama uyoga wana vipindi kule. Wanaonyesha wanaojiita wenye upako wanaponya watu , wa...

Natafuta mwanaume

jamiiforums.com - 2013-04-22 08:23:57 - Similar - Report/Block

mimi ni mdada wa miaka 23 natafuta mwanaume wa kunioa mwenye umri wa miaka kuanzia 4o~55 aliye tayari anipm xaxa ...

Ndoa ya Miaka Minne Yavunjika Kwa Sababu ya Udogo wa Uume

jamiiforums.com - 2013-03-22 05:23:16 - Similar - Report/Block

Mwanamke mmoja nchini Taiwan amedai talaka mahakamani toka kwa mumewe wa miaka minne kutokana na udogo wa maumbile yake ya kiume na pia kwa kushindwa kutimiza ahadi ya kutoa unyumba mara tatu kwa wiki. Mwanamke huyo aliyetajwa kwa jina la Zhang mwenye umri wa miaka 52, amevunja ndoa yake ya miaka minne na mumewe Zhou mwenye umri wa miaka...

Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

jamiiforums.com - 2013-03-24 10:34:07 - Similar - Report/Block

Msomi (at least Masters in progress) Pesa (sio za mawazo) Umri (at least 30+) Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !! Niko tayari kukosolewa.

Natafuta House Girl.

jamiiforums.com - 2013-03-23 12:38:40 - Similar - Report/Block

Natafuta msichana wa kazi asizidi umri miaka 30, awetayari kufanya kazi nje ya Dar,pia awe na uelewa wa kufanya kazi za ndani. Kwa mawasiliano piga 0713239363 au 0713708222. Mshahara ni maelewano kulingana na kazi.

Msaada wenu wanajf tafadhali

jamiiforums.com - 2013-05-16 18:46:32 - Similar - Report/Block

Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na umri wa mimba yangu kwa anaefahamu tafadhali anisaidie...

kwa wasichana kutoka mbeya wanaohitaji kuolewa, soma hapa

jamiiforums.com - 2013-05-31 08:51:04 - Similar - Report/Block

Serious natafuta mchumba (msichana), kutoka (mwenyeji) mkoani mbeya tu anayehitaji kuingia kwenye ndoa na kuanzisha familia baada ya kukubaliana na kuelewana. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, mweusi, mwembamba, sio mrefu wala sio mfupi. Ni mkristo wa moravian, nipo singo, sijawahi kuoa na wala sina mtoto. Situmii pombe wala sigara.

Uzazi wa mpango

jamiiforums.com - 2013-05-09 06:23:33 - Similar - Report/Block

Heshima mbele! Nauliza hivi ile njia ya kukata mirija ya kutoa mbegu za kiume ikoje? Je nisalama, haiadhiri ktk suala la nguvu za kiume, mwanaume wa sifa gani(umri) anaruhusiwa? Naomba msaada nataka jutumia njia hii...

Tetesi: Bandari ya bagamoyo ikijengwa ccm ijindae kwa adhabu pia.

jamiiforums.com - 2013-03-27 09:31:36 - Similar - Report/Block

Wakati sakata la gesi ya Mtwara halijaisha CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesaini mktaba wa kujenga bandari nyingine huko Mbegani Bagamoyo Nyumbani kwa Rais, huku zile za Mtwara na Tanga zikiachwa hoi, CCM ikumbuke kuwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni kaburi lake katika uchaguzi wa 2015 kwa kuwa Tanga, Li...

Jamani..Jamani..Jamani.Serukam ba katukana live bila chenga leo Bungeni.

jamiiforums.com - 2013-04-17 12:00:48 - Similar - Report/Block

Katika kile kilichoonekana mgongano wa kikanuni kufuatia kusomwa kwa hotuba ya kambi rasmi ya upinzani,Mh.Peter Serukamba amesikika waziwazi kabisa akitoa tusi mbele ya bunge na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake. Bila woga wala aibu ya kuwa huenda anasikilizwa na wakwe au watoto,amesikika akisema "Come-on F.U.C.K Y.O.U."...

BARUA YA WAZI KWA MWL NYERERE, Mei , 2013

jamiiforums.com - 2013-05-16 16:01:02 - Similar - Report/Block

BARUA YA WAZI KWA MWALIMU NYERERE, Mei, 2013 Mpendwa Mwalimu, Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika. Siku hizi mlima Kilimanjaro upo Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, TANESCO ni ya mtu binafsi na Rais wetu anaishi airport. Mwl huku historia imebadilika kuwa Tanzania imetokana na visiwa vya Pemba, Unguja na...

msaada wenu wanajamv!

jamiiforums.com - 2013-04-21 08:41:00 - Similar - Report/Block

msaada wa kazi ya saloon,supermarket,au yeyote ile iliyohalali!umri 21,chuo, mkoa dodma!mwenye msaada nami pllz ni pm!natangukiza shukran...

Hivi Beckham kutoa pasi ya goli nayo ni habari?

jamiiforums.com - 2013-02-25 15:00:09 - Similar - Report/Block

Amakweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Leo RFA katika taarifa ya habari ya saa sita u nusu nilisangaa kusikisia mtangazaji akisema DB katoa pasi iliyozaa goli katika mchezo wa timu yake hapo jana, hakuna habari nyingine iliyohusu mechi hiyo. Tukawa tunajiuliza hivi hawa jamaa wameishiwa habari ama ndio uzuzu wetu!...

Moyo mpweke nakuhitaji

jamiiforums.com - 2013-04-23 16:57:02 - Similar - Report/Block

nakuhitaji haraka mwanamke umri 28 na 35 anaishi arusha/Moshi awe mwajiriwa mm ni mwajiriwa aliyemhitaji call 0755561008...

Nahisi baridi

jamiiforums.com - 2013-05-05 16:22:03 - Similar - Report/Block

Huku kwetu mvua inanyesha knoma then kunabarid utazan jehanam ya barid. Alafu npo single me nfanyaje?...

Makinda, Ndugai wametuharibia Bunge

jamiiforums.com - 2013-04-21 09:27:25 - Similar - Report/Block

Prudence Karugendo FIKIRIA mbunge anasimama bungeni na kutamka kwa kujiamini, akimlenga mbunge mwenzake, kuwa mimi siongei na mbwa bali naongea na mfuga mbwa! Mwendesha Bunge, spika au naibu spika, anaridhia tamko hilo bila kumchukulia hatua yoyote ya kimaadili msemaji! Mbunge mwingine anaamka na kufyatua matusi ya nguoni huku akilindwa n...

Kutekwa kwa Kibanda - Dk. CHEGENI aviishukia vyombo vya USALAMA

jamiiforums.com - 2013-03-15 10:49:07 - Similar - Report/Block

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu na mjumbe wa NEC (CCM), Dk. Raphael Masunga Chegeni amevishukia vyombo vya Usalama, akisema haiingii akilini watu waliomteka na kumjeruhi Absalom Kibanda kushindwa kukamatwa haraka kama inavyofanyika pale viongozi waandamizi wa Serikali wanapodhulika!.

msaada: agency number ya Tanzania for chinese goverment for undergraduate

jamiiforums.com - 2013-03-19 06:44:56 - Similar - Report/Block

Heshima kwenu wakuu Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application wakaniuliza my agency number kwa Tanzania ila sikuwa nayo na kuipata nadhani ni mpaka niende kwenye embassy yao huku Tanzania; Mimi nipo mikoani hu...

Singida (v) wajipongeza kwa Kufelisha

jamiiforums.com - 2013-02-26 08:28:29 - Similar - Report/Block

Wiki iliyo pita Maafisa idara ya elimu Singida walitembelea Ngorongoro kuvinjari huku shule zao zikiwa zimefelisha vibaya kwenye mitihani ya taifa. Elimu ya msingi ni kati ya wilaya duni na sekondari ndio usiseme. Haya ni baadhi ya matokeo ya shule zilizojitahidi: Ikungi sec ilikuwa ya 1344 kati ya shule 3392 ilongero 1737 / 3392 sepuka 1...

Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

jamiiforums.com - 2013-05-06 09:49:30 - Similar - Report/Block

Waziri EMMANUEL NCHIMBI katika taarifa yake ndani ya bunge amejichanganya juu ya idadi ya watuhumiwa waliokwisha kukamatwa kuhusiana na mlipuko wa Arusha. Jana wakati akiongea na STAR TV alinukuliwa akisema idadi ya waliokamatwa ni sita lakni leo ndani ya bunge amesema ni watatu. Je umakini wake uko wapi?...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.