|
|
jamiiforums.com
- 2013-06-09 11:51:50
- Similar
- Report/Block
Kama mdau mkubwa wa elimu, naona mambo haya yataboresha elimu yetu 1. Vyumba vya madarasa vya kutosha 2. Madawati ya kutosha (tuna misitu mingi sana) 3. Maabara oa vifaa vya kutosha 4. Vitabu vyenye sifa katika ngazi husika 5. Mtaala na sera yetu kama taifa kuhusu elimu 6. Viwanja vya michezo mashulen 7. Walimu wa kutosha na walio hitimu...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-06-08 18:20:40
- Similar
- Report/Block
Hii ndio elimu ya mhe. Mbowe , ambae ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na mbunge wa jimbo la Hai. Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Freeman Middle Name Aikaeli Last Name: Mbowe Member Type: Constituency Member Constituent: Hai Political Party: CHADEMA Offic...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-06-07 20:05:44
- Similar
- Report/Block
Tangu kutokea kwa sakata la wenje na cuf bungeni kuhusu ishu ya uliberali, matumizi ya neno USHOGA/USENGE ( Ashakum si matusi ) yanaonekana kuwa substituted kwa neno " Mliberali". Najua watu wengi wanatumia neno "Mliberali" kama tafsida ili kupunguza ukali wa maneno. But kwa mtazamo, matumizi ya neno mliberali yanaweza kuongeza kasi ya vi...
|
|
|
|
theblaze.com
- 2013-06-06 20:20:46
- Similar
- Report/Block
In an interview with the Huffington Post , White House Senior Adviser Valerie Jarrett said there’s no chance Attorney General Eric Holder will resign in light of revelations that his Justice Department has spied on journalists. “You can take it from me,” she said. “He will be in his position for quite a while.” Jarrett also said Holder...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-05-10 20:17:49
- Similar
- Report/Block
ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha kuona elimu yetu ambayo ilijengewa misingi bora na imara sasa inaangamia. Ikumbukwe kuwa mwalimu julius kambarage aliifanya elimu ya tanzania kuonekana nzuri na yakuigwa na mataifa mengne ya jumuia ya afrika mashariki mfano, uganda, kenya nk. Lakini leo unapoongea elimu ya tanzania imekuwa ikiangamia...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-05-05 16:44:19
- Similar
- Report/Block
Hope everybody is fine. Hebu tushauriane hapa (mwanamke mwenzetu ameomba ushauri); mwanaume ni mlevi. anaondoka asubuhi hadi usiku mwingi yeye yuko bar tu analewa mwanzo mwisho. Kama siku za kazi basi akirudi ni huko juu kwa juu kwenye bar kulewa hadi usiku wa manane. Nyumbani haachi hela ya matumizi ila akikuta msosi anakula ila kamwe ha...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-05-05 08:25:41
- Similar
- Report/Block
Waungwana hivi unavyofanya standardization kwa matokeo ya kidato cha nne ya 2012 ni kwamba tatizo la msingi halijajulikana? Mimi naona kuna mengi ya kuangalia kabla hatujakimbilia huko 1.Mitaala yetu inajulikana? 2.Walimu wanaofundisha wanakidhi vigezo na viwango vya kuwa waalimu? 3.Walimu wanapata kile wanachostahili kwa kazi wanayoifany...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-05-04 15:27:35
- Similar
- Report/Block
Ndugu wapendwa habari zenu,natumaini kuwa kila mmjoa yuko ktk shughuli za kila cku yaan kila mmoja ni mzima wa afya njema. leo ningependa waungwana,wapenz wa tz,wadau wa elimu,nawengineo tujadili juu ya ELIMU YA TANZANIA.kiukweli tunatia haibu dunia nzima,hivi nikwel wasomi wa tz tumeshindwa kuweka mikakati thatibi kuhu elimu,au tatizo ni...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-05-04 12:53:08
- Similar
- Report/Block
Kila kukicha elimu Tanzania inaporomoka, hizi hapa ni mojawapo ya sababu: 1. Serikali kutokuwa na sera madhubuti ya elimu 2. Elimu kuingiliwa na wanasiasa mfano Mh. Kikwete kufuta mtihani wa kidato cha pili 3. Kuchaguliwa kwa wanafunzi waliopata madaraja ya chini kujiunga na vyuo vya elimu mfano Div 4 kwa wale wa cheti, Principal pass moj...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-26 09:29:11
- Similar
- Report/Block
wana Jamii, habarini za asubuhi, Ninamuda nimekuwa najiuliza, hivi matumizi makuu ya Fedha tunazokopa nje ya nchi ni yapi? Majibu niliyokuja kuyapata baada ya uchunguzi ni haya: 1. Ujenzi wa barabara na madaraja 2.Ujenzi na upanuzi wa viwanja vya ndege. 3. Ujenzi wa bandari na miradi inayofanana na hiyo. Nikajiuliza zaidi, kwani mapaato y...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-25 17:31:53
- Similar
- Report/Block
Jamani naomba tuorodheshe tabia zinazokera kwa watz: 1) Kumpigia mtu simu haipoelewi, na baadaye wala hasumbuki kupiga au kutuma sms 2) Kupigiwa simu za kila wakati na kukopwa 3) Kuombwa Vocha 4)Kukutana na mtu anayejifanya anakufahamu sana na baadaye kukupiga mzinga 5) Kulalamikia ugumu wa hali ya maisha kila siku na kutochukua hatua yoy...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-22 05:44:15
- Similar
- Report/Block
Naomba kujua siku ambayo bajeti ya Elimu itasomwa Bungeni. Huo ni wakati wa kufanya tathmini juu ya nia ya serikali kuboresha Elimu hapa nchini. Karibu kwa mchango wasko.
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-21 15:44:10
- Similar
- Report/Block
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imefuta mitihani ya Trade Test kinyemela kinyume cha Sheria ya Bunge Na. 1 ya 1994 iliyounda Mamlaka hiyo. Mfumo wa Trade Test unatambuliwa kisheria kwa mujibu wa vifungu 6(2)(g)(ii) na13(2)(d) vya sheria hiyo. Uongozi wa VETA ulifanya maamuzi ya kuachana na Trade Test na badala yake mfum...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-17 11:48:14
- Similar
- Report/Block
Lugha kama hizi zimesababisha Watanzania wengi wakose hamu ya kusikiliza vikao vya Bunge. Tumechoshwa na lugha chafu za waheshimiwa. Bunge ni sehemu ambayo tulipaswa kuwa tunasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana. JOSEPH MBILINYI: "Mambo mengi ya nchi hii hayaendi kutokana na SERIKALI PUMBAVU.... Ha
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-16 11:46:52
- Similar
- Report/Block
Akizungumza katika tathmini ya Elimu wilaya ya songea vojijini diwani huyo ambae alipata kuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo alisema pamoja na kuanzisha shule kisiasa pia aliituhumu wazara ya elimu kuwaumiza kwa kuwa na mpango mbaya ktk elimu yetu. Akaenda mbali kwa kusema haamini ktk mpango wa vitabu huria.(mult text) mh huyo ambae anaju...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-11 18:16:19
- Similar
- Report/Block
Naomba bila kuzunguka Ndugu Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, uvitazame kwa jicho la pekee vyuo vya ualimu Tanzania kwani kuna matatizo makubwa sana. Wafanyakazi hatujawahi pata fedha za likizo miaka mingi sana, hatujalipwa madai yetu ya mishahara, fedha za BTP zinachakachuliwa, wafanyakazi hatupandishwi vyeo, matumizi ya michan...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-11 15:52:50
- Similar
- Report/Block
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amesema atawafikisha mahakamani watu wanaodai kuwa ameghushi vyeti vya elimu ya sekondari. Mulugo alisema amechoshwa na kashfa hizo zinazosambazwa na baadhi ya watu atawafikisha mahakamani endapo wataendelea kumdhalilisha. Mulugo alitoa kauli hiyo alipofungua mkutano wa mwaka wa U...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-11 14:43:05
- Similar
- Report/Block
Wizara ya elimu kwa sasa inao mpango wa kushusha alama za kufaulu kwa wananafunzi wanaomalza kidato cha nne..naibu waziri wa elimu philipo mlugo alisema kuwa wizara inaangalia utaratibu mpya wa kushusha alama,credit za kufaulu kutoka C tatu hadi D mlugo alidai kuwa ni vema mwanafunzi atakayemalza form iv akapata C mbili na D moja au D tat...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-04-09 17:01:19
- Similar
- Report/Block
Matatizo mbalimbali yanachokikumba chuo kikuu kishiriki, MKWAWA(MUCE), JAMANI HAYA MATATIZO YATAISHA LINI? Ndugu wanajamii forum, tatizo la elimu bora kwa kila mtanzania ni Tatizo, kumbe hata vyuoni elimu bora haitolewi, hii ni kukosa sehemu za mihadhara kwa ajili ya wanachuo kusomea au kujifunzia. Sasa huu uongozi wa mama( MKUU WA CHUO)...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-23 19:18:27
- Similar
- Report/Block
Jamani Tz naomba elimu kiduchu! Kuna ugomvi wa jamaa wanaotaka kuwashiwa mitambo ya analogia lakini wawashaji hawataki. Swali: Hivi kuwasha mitambo ya analogia kuna gharama yeyote mpaka kuzue kelele zote hizo? Kwa nini mitambo yote isiwashwe? Mimi nina simu yenye TV na nilikuwa nikiangalia vipindi mbalimbali kwa mobile yangu. Nina hakika...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-21 06:26:49
- Similar
- Report/Block
HATIMAYE tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, imetoa taarifa yake. Tume hiyo imebaini sababu zilizochangia matokeo hayo kuwa mabaya ni upungufu wa walimu na matumizi ya vitabu vilivyopitwa na wakati. Sababu nyingine ni usimamizi dhaifu katika sekta ya elimu, pamoja na...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-20 15:32:15
- Similar
- Report/Block
Watz;Is't right 4 holder of diploma,bachelor,masters,n.k ku2mia elim ya vbaya kisiasa?.mf,mwanasiasa mwenye bachelor,master n.k anapohadaa umma ili kjnufaisha kisiasa,je,hawa wasom wanafaida kwa taifa?.why waspokwe vyet vyao il kulinda heshima ya TZ?...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-20 12:45:16
- Similar
- Report/Block
Haya wadau mnasemaje kwenye hii? Attached Thumbnails...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-20 06:01:12
- Similar
- Report/Block
LAKINI TAMBUA YA KUWA: ** Dagaa mboga, Kuku mbwembwe tuu. ** Silaha pesa, Bastola mzigo tuu. ** Heshima pesa, Shikamoo kelele tuu. ** Upara bila elimu/Pesa, Sawa na kovuu tuu. ** Chezea mshahara, Usichezee kazi. ** Iga kazi, Usiige matumizi. ** Ukitaka kujua shortcut mjini, kula nauli. ** Ukitaka kumjua mke/mume wa mwenzio mchungu...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-17 18:40:05
- Similar
- Report/Block
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, Alhaji A. Bulembo! amesema Waziri wa Elimu na Katibu wa wizara hiyo hawatajiuzulu kwa kushinikizwa na maandamano ya Chadema 25 Mach. katika majiji ma 4! Haya sasa! CCM hawa hapa tena, wanaridhika na ziro kibao!.
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-15 09:56:24
- Similar
- Report/Block
Mipango inayoandaliwa na watu au taasisi yoyote ile kufanya maandamano ya kumng'oa Kawambwa na naibu wake Mulugo ni haramu na dhaifu. Sekta ya elimu ni pana sana na ufaulu wa mwanafunzi hautegemei kitu kimoja. Waziri sio lazima awe mtaalamu wa wizara anayoiongoza,nafasi yake ni ya kisiasa,yeye anasimamia utekelezajj wa ilani ya chama chak...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-12 10:44:53
- Similar
- Report/Block
Kuna tofauti kubwa sana kati ya threads zinazokuwa posted kwenye jukwaa la elimu na mantiki nzima ya neno ELIMU kama wadau hamuamini jaribuni kupitia mada nyingi na nyinyi mtakuwa ni mashahidi wangu.
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-04 01:20:42
- Similar
- Report/Block
Nimegundua makamanda huwa wakali sana pale ukihoji matumizi ya fedha za ruzuku. Nataka niwaulize jamaa zangu makamanda, hivi kuhoji matumizi ya hela ambazo zinatakiwa zitumike kwenye ujenzi wa chama ni kosa la jinai? Kwa nini thread zote zinazohoji matumizi ya hela za ruzuku ambazo chadema imepewa zinafutwa? Nini maana ya demokrasia ya kw...
|
|
|
coupondad.net
- 2013-03-02 22:15:08
- Similar
- Report/Block
Candle Holder Wall Sconce Amazon Deal – Only $9.40 We have a HOT Amazon Deal for you this afternoon! Right now you can score this set of 2 Modern Art Candle Holder Wall Sconces for only $9.40! These are marked down from $12.95! Seems like a great deal for adding a little class to your home! Candle Holder Wall Sconce Click on the link abov...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-03-01 10:18:12
- Similar
- Report/Block
Nimemwangaliwa waziri wa Elimu wa Kenya akitangaza matokeo ya KCSE muda mchache uliopita kupitia Citizen Tv. Kwanza alitanza amejiamini, ana furaha, anapigiwa makofi. Amesema kuwa kiwango cha Elimu kimepanda, na kiwango cha Ufaulu pia kimepanda. Mtindo wao wa utangazaji matokeo sio kama wa Tanzania, alitaja kimikoa, na baadaye akataja wan...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-02-27 13:39:43
- Similar
- Report/Block
Serikali kwa sasa haina chombo cha kuisimamia. Bunge limekuwa kama kikao cha kawaida cha CCM. Hayayanathibitishwa na hatua za serikali kuunda tume kujichunguza kila linapotokeajanga. Lakini pia serikalihuwa haistushwi na janga lolote linalotokea kwa kuwa hakuna chombo chakuiwajibisha Serikali huzima moto kwa kuufunika na ungo, (migogoro y...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-02-26 08:28:29
- Similar
- Report/Block
Wiki iliyo pita Maafisa idara ya elimu Singida walitembelea Ngorongoro kuvinjari huku shule zao zikiwa zimefelisha vibaya kwenye mitihani ya taifa. Elimu ya msingi ni kati ya wilaya duni na sekondari ndio usiseme. Haya ni baadhi ya matokeo ya shule zilizojitahidi: Ikungi sec ilikuwa ya 1344 kati ya shule 3392 ilongero 1737 / 3392 sepuka 1...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-02-25 13:29:06
- Similar
- Report/Block
TUSITAFUTE MCHAWI KWA ANGUKO LA ELIMU TZ Wanasiasa uchwara, wanaharakati, na makuadi wa magharibi kwa pamoja wamekuwa wakiendeleza body language za walimu wanaonewa, elimu mbovu,walimu wanahali ngumu, Haki zao hawapati. Umekuwa wimbo wa kila siku bila kutafakari kwa kina matokeo ya maneno hayo kwa WALIMU, na WANAFUNZI. Ni kweli tatizo kat...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-02-22 13:03:43
- Similar
- Report/Block
Binafsi kama mwalimu mwenye taaluma ya ualimu, matokeo ya Mtihani wa kidato cha nne 2012 ambayo yametoka juzi yanakatisha tama kabisa kutokana na idadi ya walio feli kuwa kubwa kuliko kawaida. Mwezi jana tu matokeo ya kidato cha pili nayo watoto walivurunda sana hasa mkoa wa Dar es salaam ukiongoza kwa kuvurunda. Kwa matokeo mabovu kama h...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-02-21 14:21:21
- Similar
- Report/Block
Wanajamvi naomba kuwasilisha maoni yangu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2012. Maoni yangu yatajikita zaidi upande wa waliotumia nafasi zao vibaya na kusababisha matokeo haya. Serikali ya chama cha mapinduzi Wizara pamoja na idara zilizomo chini yake imeshindwa kabisa kuisimamia elimu. Shule nyingi hazina walimu na hata...
|
|
|
jamiiforums.com
- 2013-02-08 13:02:10
- Similar
- Report/Block
Hebu fikili ndugu yangu yangu katika kipindi hiki cha likizo ya siku chache ambayo haiwezi kukufanya mtu unae toka hata kilomita 100 nje ya barabara kuu huwezi kudi nyumbani kwa sababuni siku chache lakin mbali na hilo chuo kitaanza masomo kabla loan board hawajatoa acommodation hivi mwanafunzi atahuzulia vipi vindi,hebu fikilia tangu dis...
|
|
|
|
jamiiforums.com
- 2012-08-25 22:41:09
- Similar
- Report/Block
ISIWE HISANI YA TV/RADIO STATION/MAGAZETI KUTANGAZA WAGONJWA SUGU/WAJANE/ Nk BALI IWE WAJIBU WA WATZ WOTE KUPITIA SERIKALI.
|
|
|
jamiiforums.com
- 2012-08-05 11:23:11
- Similar
- Report/Block
Ndugu kuna mtu anauza mafuta ya mbegu za ubuyu, kati ya Tsh 40,000 na 60,000. Swali je nini kimeyapa mafuta haya thamani kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi? Pia naambiwa matumizi ni kuyala mabichi na si kupukia! Ni kweli yana medicinal values kama inavyodaiwa? Au ni upepo tu kama wa ngetwa 3, ngoka 11 na babu wa samunge? Msaada tafadhali!...
|
|
|
stackoverflow.com
- 2012-05-13 21:23:21
- Similar
- Report/Block
I'm looking for a convenient way to return multiple objects from a Java method call. Kind of like in PHP: list ($obj1, $obj2, ...) foobar(); I'm really getting tired of passing holderobjects in the arguments for example: class Holder { int value; Holder h1=new new Holder(); Holder h2=new new Holder(); and then: o.foobar(h1,h2); ... would
|
|
|
|
stackoverflow.com
- 2012-02-21 12:06:00
- Similar
- Report/Block
I'm extremely new to flash programming, and suddenly my teacher give me assignment to make a flash about mirror reflection line. Here is my as code to draw a simple line after following some tutorial online. _root.createEmptyMovieClip("holder",1); holder.clear(); holder.lineStyle(1,0,100); holder.moveTo(benda._x, benda._y); holder.lineTo(...
|